Yah: Kuanzishwa kikundi cha MSUTO cha MKODOBWE!!!!!!!!!

Hahahahahahahahahhahahahaha
hiki kikundi ni hatari na ni hatarishi!
Zinduna
 
Last edited by a moderator:
wewe nawe ndimu kweli, akutake nani sura yenyewe hiyo nitonye mrembo,yaani ukipishana na mwanaume njiani basi kakutaka

Babu unituwee,
nimekula nini chako?
Nimevaa nini chako?
Afu usinipandishe mashetani yangu ujue.
Wewe ndo ulikuwa nambari one kutaka kunivunjia ndoa yangu na mume wangu.
Eti ooh... Chimbuvu hana hela.
Kwani unatembea na Acc yake?
Mara ooh... Chimbuvu mtoto,
una kadi lake la kliniki au ushawahi kumkuta kavaa Pampers!
Unituwe wewe Baba V,
Hapa stori tu,kula kwenu.
 
Last edited by a moderator:
Mkianzisha kundi lenu la matarumbeta mie nitakua napita na kipande cha ndimu ili kuwalegeza skrubu za "mabakuli yenu"
 
zinduna sitaki kuamini kama Bishanga hajatokea kwenye list,huyu bashaija lazma awemo kwenye msuto tena tunamtembeza mtaa mzima ya siku ile tulikua hatuna usafiri ndo maana haikunoga,sahizi tunae Nicas Mtei na C6 naamin tutafunga mtaa.
 
zinduna sitaki kuamini kama Bishanga hajatokea kwenye list,huyu bashaija lazma awemo kwenye msuto tena tunamtembeza mtaa mzima ya siku ile tulikua hatuna usafiri ndo maana haikunoga,sahizi tunae Nicas Mtei na C6 naamin tutafunga mtaa.
 
Madame B;
MImi NAJIUNGA kwa ajili ya KUMSUTA Baba V.

CC: Zinduna

Karibu Shosti tuje kumsuta huyu mtu mzima asiejua baya na zuri.
Kazi kuvunja ndoa zetu,afu pembeni anatutongoza.
Tumnyambe abaki vifupa tu.
Tazama sura yake ilivokosa nuru,utafikiri kapata lidandasi lindoni kwake.
Hehehyaaaaa..
 
Hebu Madame B endeleza mkodobwe mie nenda kutabawali kwanza

We nawe usijitie mapana ya wembe,kufumua mpaka makoti.
Kwani na sie hatuna wa kututabawali?
Kuja huku.
 
Last edited by a moderator:
Nicas Mtei nakuona suka ulivotoa meno pale mbele

 
Last edited by a moderator:
hawana lolote hawa,mi mwenyewe tu nawatosha

Yani hawa dawa nikuwamendea wakiwa wameshajikusanya kwenye huo sijui ndo msuto ni kuwamwagia u.pu.pu wote...Watakimbiajee! hawataridia tena...
 
Huyo Bishanga sitaki kumuona kwenye huu uzi maana ni ana umbea huyo sijaona mfanowe
Pamoja na kumsuta lakini bado yumo tu, kazi yake kukaanga mbuyu, kuwachia wenye meno watafune Loooooo!!!!
subutu yako unisute uone kama sijakupiga mimba ya triplets uhangaike nayo,chezea tajiri wewe?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…