Yah: Kuanzishwa kikundi cha MSUTO cha MKODOBWE!!!!!!!!!

debe tupu haliachi kushinda,hata taifa stars walijinadi hivo hivo kabla hatujabondwa na uganda,ada ya mja ni maneno muungwana ni vitendo,acha talalila mtoto wa kike.
 
Last edited by a moderator:
Mke wangu sweetylady naomba umtoe kwenye hilo chama please
 
Last edited by a moderator:
Siku inabidi tukuwekee kikao ngoja niongee na ma broda Bishanga

Thubutu yenu.
Mkitaka kuja kunisuta labda mkodishe Dar nzima ndio mje mnisute,lakini kwa nyie wawili,
Nitawatoa baru.
 
Last edited by a moderator:
Kwani hyo mishkaki anaichoma mpaka kitandani?
Unituwe we muhaya.
Na mdogo wako nimemuacha,sasa fanya lolote,
kwani nyie ukoo wenu hamjui kuachwa ee!!!
Na bado.

Hivi Nitty yupo jamani?
 
Nasikia mna msemo wenu siku hizi! (mwanamke kusutwa sunna) Swali? na mwanaume .............!!!!!
 
hahahah hii kali....mie nadhani tuanze na eliah kwani anapita humu jukwaani akinichafua eti nilimhonga lundenga....wakati miye sina cha kuhonga...cherry Zinduna anawasilisha wazo...

We Ciello wewe!!
Unataka nimwage data zaidi uzidi kuumbuka?
Ohoo!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…