Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
Tena huyo Eliah nilisahau kumtaja, sijui ni mwanga, heee, yaani mie binti Zimkaya nikamsahau huyu Baradhuli!
Naye lazima awemo huyo
una uhakika ? kwani mdomo wako umefungiwa injini ya boeing?Thubutu yenu.
Mkitaka kuja kunisuta labda mkodishe Dar nzima ndio mje mnisute,lakini kwa nyie wawili,
Nitawatoa baru.
acha woga wewe!kelele za kina madame bii ni sawa na maji ya moto tu hayaunguzi nyumba,kwanza wakiona mtuno tu haoooo wanalegea!Ngoja nipite tu aste aste!
jibu swali! halafu nasikia Chimbuvu alikurupushwa na C6 hata kufuli akalisahu kwako,ya kweli hayo charminglady?Hivi una mimba yangu wewe???????????
what you have said,to the best of my knowledge,and according to available irrefutable evidence,is absolutely true!
kyonka naiwe nongwisa,omushaija alashana, omushaija aba manzi,omukazi wamulekela banyamahanga? akiki?
hahahaha ulisutwa wewe ukapauka ka jiwe la kiama! Leo wajihashua hapa kitu gani?? Ngoja zamu yako yaja, na safari hii utawatofautisha funza wa maiti, na funza wa unyevu!!debe tupu haliachi kushinda,hata taifa stars walijinadi hivo hivo kabla hatujabondwa na uganda,ada ya mja ni maneno muungwana ni vitendo,acha talalila mtoto wa kike.
mtasutwajeeeeeeee? wanaume wapana ka lango la hekalu!!what you have said,to the best of my knowledge,and according to available irrefutable evidence,is absolutely true!
ps: nasikia katoto kanamfanana mdogo wake marehem Garang,dah,msura huo!
Teh teh....
Nyie wasichana wawili mnafanya gani hapa?:confused2::confused2:hahahaha ulisutwa wewe ukapauka ka jiwe la kiama! Leo wajihashua hapa kitu gani?? Ngoja zamu yako yaja, na safari hii utawatofautisha funza wa maiti, na funza wa unyevu!!