Yah: Kuanzishwa kikundi cha MSUTO cha MKODOBWE!!!!!!!!!

Shosti Madame B,njoo kwa PM,kuna mbabu ananizukia kama jua la jioni nataka tumsute!!
 
Last edited by a moderator:
Shosti Madame B,njoo kwa PM,kuna mbabu ananizukia kama jua la jioni nataka tumsute!!

Shoga mie tena!
Hebu litupiamo jina lake hapa hadhwarani tumpembue hiyo mijivuzi yake.
Na kama sio yule muhaya B, basi muha Eliah.
Mlete tumnyambue.
 
Last edited by a moderator:
Shoga mie tena!
Hebu litupiamo jina lake hapa hadhwarani tumpembue hiyo mijivuzi yake.
Na kama sio yule muhaya B, basi muha Eliah.
Mlete tumnyambue.

Kuna huyu anajiita Bishanga,yaani sijui ananitaka!
La kunizukia kama mwewe asubuhi asubuhi lipi?
Hebu andaeni msuto wake shoga Madame B.
 
Last edited by a moderator:

Nimekusikia shemeji cacico, siendi topeni miye utankuta ufukweni
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…