YAH:kumkaribisha member ''GENERATION-Y'' ndani ya I.S.C

Teamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2009
Posts
12,271
Reaction score
1,052
THE KING OF INFIDELITY
WHITE LEXUS VILLA PARK
ROOM NR 29-ngorongoro
P.O.BOX 50
KEREGE
kumb.nr 000/superinfidelator/theking himself

MWENYEKITI WA INFIDELITY
KAIZER
UNENAMWA GUEST HOUSE
ROOM NR 31-pretoria
P.O.BOX 51
TABATA

Ndugu,

YAH:KUSIMIKWA RASMI KWA MWANACHAMA MPYA WA I.S.C ndg GENERATION-Y

Rejea kichwa cha habari hapo juu.

Huu ni uthibitisho kwamba mwanachama Generation Y amesimikwa rasmi kama mwanachama hai wa I.S.C baada ya kutimiza vigezo vyote ''mama'' vya I.S.C

Kwa niaba ya familia ya kifalme,tunamtakia ndugu Generation-Y kila lililo jema ndani ya hii klabu yetu yenye mafanikio makubwa kabisa.

Tunakusisitizia tu ndugu generation-Y kwamba katiba yetu ni ile ile....labda kwa kukumbushia tu:
Zijue sheria ''mama' za infidelity...

well hapa haitakiwi kuongea sana,ni kuzishusha tu kama ifuatavyo:
1-INFIDELATORS wanatakiwa kugharamia kikao cha kwanza wanapokutana na infideletees wapya kwa asilimia 100

2-
INFIDELATORS/INFIDELETEES wanatakiwa kufanya wanaloliweza kuhakikisha hakuna leakage ya taarifa yoyote ya INFIDELITY juu yako kwenye familia zao(hasa hasa wake/waume zao waliowaacha nyumbani)

3-
INFIDELATORS/INFIDELEETES wanatakiwa kushea-KIZURI KULA NA NDUGUYO!(hii sheria ni muhimu sana).ukimpata infideletee anaejituma sana gesti muhabarishe na mwenzio akamfaidi.SHARING IS CARING-KUGAWANA NI KUJALI

4-
INFIDELATORS/INFIDELETEES wanapaswa kuwa na umri wa watu wazima(18+.....!hii ilikuwa sababu pekee ya kumtoa georgieporjie kwenye uanachama)

5-
INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima wawe wanapandisha mvinyo kwa wingi (unywaji wa valuu una ''added advantage'')

6-
INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima awe na ''defined-marital status'',lazima awe ameoa/ameolewa (huwezi kufanya infidelity wakati wewe hujaoa-hapo unakuwa unafanya zinaa tu!...infidelity kwa ujumla wake lazima kwanza uoe/uolewe:eyebrows::eyebrows::eyebrows:!samahani kama nawakwaza hapa ndugu zangu).

7-
KWAKUZINGATIA SHERIA NAMBA 7 TAJWA HAPO JUU-infidelators watakaoingia kwenye NEC ni wale waliooa/olewa tu!wengine hao wanakuwa members tu kwasababu tunawajali sana zaidi ya hapo HAWANA KURA YA VETO

8-
INFIDELATORS/INFIDELETEES watahakikisha wanapigana kufa na kupona kuzilinda na kuzitetea ndoa za infidelators/infideletees wenzao!(ndoa na iheshimiwe na watu wote).naomba hii sheria muiangalie kwa umakini mkuu!hakikisha kufa kupona unafanya unaloweza kuhakikisha ndoa ya mwanachama haitetereki.

9-
INFIDELITY itafanyika NYUMBA ZA KULALA WAGENI TU!....tena itafanyika kilometa kadhaa kutoka maeneo yako ya nyumbani(otherwise unatakiwa uproove kwamba mkeo/mumeo kasafiri umbali usio pungua kilometa mia saba kutoka nyumbani kwenu).

10-
INFIDELITY KAMWE HAIFANYIKI USIKU KUCHA-fanya unalofanya lakini make sure umerudi nyumbani kwa waif/husband.ukilifanya hili utakuwa umeheshimu na kuitekeleza sheria namba 7 na namba 9 tajwa hapo juu

11-
INFIDELITY IS THERE TO STAY....!kwanini?kwasababu infidelity ni tiba ya KANSA YA KIBOFU!hapa pana mjadala mzito kidogo ingawa hauhitaji journals!

12-
INFIDELATORS/INFIDELETEES wanalazimika(kwa hali na mali) kuwa na simu zaidi ya moja...!hasa hasa wanapaswa kuwa na simu moja HOT-LINE itakayokuwa fixed ofisini au eneo lako la kazi.Simu hiyo itatumika kwa ajili ya taratibu zote za infidelity(hapa ni mambo ya promises,appointments na kujuliana hali).kwa kufanya hivyo sheria tajwa namba 8 itakuwa inatekelezeka.

13-
INFIDELATORS/INFIDELETEES wanapaswa kulindana,kutunziana heshima,kutunziana siri.ni marufuku kuzianika taarifa za infidelator/infideletee kwenye chombo chochote kile cha habari au mitandao.

ngoja nikimbie gesti hapo msasani nika-du ze nidiful then nitarudi!


kwa anaetaka katiba ya ''infidelity'' au kadi ya uanachama anipiemu tu......



WAKO KATIKA UJENZI WA CHAMA,
the king-knowledge is power


CC:
KATIBU-st roya
MHAZINI-asprin
MSHAURI WA CHAMA-fidel
WAPINZANI WA JADI-smiles & beaty kwa ujumla wenu(NA MTAJINYONGA MWAKA HUU)

 
Teamo i cant believe this daaaaaaaah haya maneno yote umetoa wapi?
na huyu anayekaribishwa ndo nani ?
 
Madhara ya zile chupa za jana....
hehehe!
tatizo lako ulipiga picha ukaondoka mapema!ungebaki masaa mawili zaidi usingekumbuka hata kupiga hizo pic
 
Tulikuwa tumepanga sherehe ya kumsimika ifanyike leo pia INFI Askofu atakuwepo kutoa baraka zote nimeisha confirm naye
 
Well don the king! Risiti nshamkatia!

Kuna wawili wameomba kajaza fomu ya kujiunga na chama: Wiselady na Queenkami. Naomba wafikiriwe na uwasaidie kupata udhamini!
 
Teamo i cant believe this daaaaaaaah haya maneno yote umetoa wapi?
na huyu anayekaribishwa ndo nani ?
1-hayo maneno yanapatikana ndani ya valuu+pepsi+safari wota
2-anaekaribishwa ni mwanachama hai kabisa na mpya katika I.S.C
 
Well don the king! Risiti nshamkatia!

Kuna wawili wameomba kajaza fomu ya kujiunga na chama: Wiselady na Queenkami. Naomba wafikiriwe na uwasaidie kupata udhamini!

Nina wadhamini kumi ambao wako tayari barua zao za udhamini nitaziwakilisha kwako ili ziende kwenye kamati kuu ili ziweze kuhakikiwa
 
Well don the king! Risiti nshamkatia!

Kuna wawili wameomba kajaza fomu ya kujiunga na chama: Wiselady na Queenkami. Naomba wafikiriwe na uwasaidie kupata udhamini!
HEHEHE!
mimi kazi yangu huwa naifanya kwa ustadi mkuu kwakweli......
talking of queenkami na wise lady....!well,naomba kwenye vikao vyenu muandae ''practical intavyuu'' ya hawa watu kabla hamjawaleta THE ROYAL PALACE
 
Mlikuwa wapi tena jana?...mbona sikumbuki kama nilikuruhusu?...nasubiri maelezo!

Kumbe na maaskofu nao wanaomba ruhusa? Samahani Pope PJ kama nimekukwaza. Askofu ni mwanachama wet hai. Akchuale yeye ndio huwa anaviombea vikao vyetu!
 
HEHEHE!
mimi kazi yangu huwa naifanya kwa ustadi mkuu kwakweli......
talking of queenkami na wise lady....!well,naomba kwenye vikao vyenu muandae ''practical intavyuu'' ya hawa watu kabla hamjawaleta THE ROYAL PALACE

Nani anahusika sana hapa?
 
hehehe! tatizo lako ulipiga picha ukaondoka mapema!ungebaki masaa mawili zaidi usingekumbuka hata kupiga hizo pic

Hii picha nimeletewa na reliable Source

Tulikuwa tumepanga sherehe ya kumsimika ifanyike leo pia INFI Askofu atakuwepo kutoa baraka zote nimeisha confirm naye

Unajua wewe una matatizo, umeongea na mm wapi? Siji kwenye vikao vya ki-shetani

Mlikuwa wapi tena jana?...mbona sikumbuki kama nilikuruhusu?...nasubiri maelezo!

Hahahahaaa... usijali mshauri wa Askofu... Angalia PM

Kumbe na maaskofu nao wanaomba ruhusa? Samahani Pope PJ kama nimekukwaza. Askofu ni mwanachama wet hai. Akchuale yeye ndio huwa anaviombea vikao vyetu!

Hapo ndio unapokosea Asprin... sijawahi kuhudhuria vikao vya BAR, nahudhuria vikao vya kanisani, kwenye matamasha na maeneo kama hayo... Poleni lakini siwezi kuwa pamoja nanyi..:mmph:
 

Nitakutimizia mahitaji yako yote usipate shaka najua posho ndio inakufanya uongee hivyo nitawasiliana na mweka hazina ashughulikie swala lako
 
Mkuu Generation Y welcome to the word! Yaone maisha bora kupitia ISC
 
Teamo i cant believe this daaaaaaaah haya maneno yote umetoa wapi?
na huyu anayekaribishwa ndo nani ?
Utamjua tu usiwe na shaka! Ngoja atoke Guest atakuja kutoa shukrani zake!
 
Orait,......IMEPITISHWA>>>>where is Generation Y?:A S thumbs_up:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…