Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
THE KING OF INFIDELITY
WHITE LEXUS VILLA PARK
ROOM NR 29-ngorongoro
P.O.BOX 50
KEREGE
kumb.nr 000/superinfidelator/theking himself
MWENYEKITI WA INFIDELITY
KAIZER
UNENAMWA GUEST HOUSE
ROOM NR 31-pretoria
P.O.BOX 51
TABATA
Ndugu,
YAH:KUSIMIKWA RASMI KWA MWANACHAMA MPYA WA I.S.C ndg GENERATION-Y
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Huu ni uthibitisho kwamba mwanachama Generation Y amesimikwa rasmi kama mwanachama hai wa I.S.C baada ya kutimiza vigezo vyote ''mama'' vya I.S.C
Kwa niaba ya familia ya kifalme,tunamtakia ndugu Generation-Y kila lililo jema ndani ya hii klabu yetu yenye mafanikio makubwa kabisa.
Tunakusisitizia tu ndugu generation-Y kwamba katiba yetu ni ile ile....labda kwa kukumbushia tu:
Zijue sheria ''mama' za infidelity...

well hapa haitakiwi kuongea sana,ni kuzishusha tu kama ifuatavyo:
1-INFIDELATORS wanatakiwa kugharamia kikao cha kwanza wanapokutana na infideletees wapya kwa asilimia 100
2- INFIDELATORS/INFIDELETEES wanatakiwa kufanya wanaloliweza kuhakikisha hakuna leakage ya taarifa yoyote ya INFIDELITY juu yako kwenye familia zao(hasa hasa wake/waume zao waliowaacha nyumbani)
3- INFIDELATORS/INFIDELEETES wanatakiwa kushea-KIZURI KULA NA NDUGUYO!(hii sheria ni muhimu sana).ukimpata infideletee anaejituma sana gesti muhabarishe na mwenzio akamfaidi.SHARING IS CARING-KUGAWANA NI KUJALI
4- INFIDELATORS/INFIDELETEES wanapaswa kuwa na umri wa watu wazima(18+.....!hii ilikuwa sababu pekee ya kumtoa georgieporjie kwenye uanachama)
5- INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima wawe wanapandisha mvinyo kwa wingi (unywaji wa valuu una ''added advantage'')
6- INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima awe na ''defined-marital status'',lazima awe ameoa/ameolewa (huwezi kufanya infidelity wakati wewe hujaoa-hapo unakuwa unafanya zinaa tu!...infidelity kwa ujumla wake lazima kwanza uoe/uolewe:eyebrows::eyebrows::eyebrows:!samahani kama nawakwaza hapa ndugu zangu).
7- KWAKUZINGATIA SHERIA NAMBA 7 TAJWA HAPO JUU-infidelators watakaoingia kwenye NEC ni wale waliooa/olewa tu!wengine hao wanakuwa members tu kwasababu tunawajali sana zaidi ya hapo HAWANA KURA YA VETO
8- INFIDELATORS/INFIDELETEES watahakikisha wanapigana kufa na kupona kuzilinda na kuzitetea ndoa za infidelators/infideletees wenzao!(ndoa na iheshimiwe na watu wote).naomba hii sheria muiangalie kwa umakini mkuu!hakikisha kufa kupona unafanya unaloweza kuhakikisha ndoa ya mwanachama haitetereki.
9- INFIDELITY itafanyika NYUMBA ZA KULALA WAGENI TU!....tena itafanyika kilometa kadhaa kutoka maeneo yako ya nyumbani(otherwise unatakiwa uproove kwamba mkeo/mumeo kasafiri umbali usio pungua kilometa mia saba kutoka nyumbani kwenu).
10- INFIDELITY KAMWE HAIFANYIKI USIKU KUCHA-fanya unalofanya lakini make sure umerudi nyumbani kwa waif/husband.ukilifanya hili utakuwa umeheshimu na kuitekeleza sheria namba 7 na namba 9 tajwa hapo juu
11- INFIDELITY IS THERE TO STAY....!kwanini?kwasababu infidelity ni tiba ya KANSA YA KIBOFU!hapa pana mjadala mzito kidogo ingawa hauhitaji journals!
12- INFIDELATORS/INFIDELETEES wanalazimika(kwa hali na mali) kuwa na simu zaidi ya moja...!hasa hasa wanapaswa kuwa na simu moja HOT-LINE itakayokuwa fixed ofisini au eneo lako la kazi.Simu hiyo itatumika kwa ajili ya taratibu zote za infidelity(hapa ni mambo ya promises,appointments na kujuliana hali).kwa kufanya hivyo sheria tajwa namba 8 itakuwa inatekelezeka.
13- INFIDELATORS/INFIDELETEES wanapaswa kulindana,kutunziana heshima,kutunziana siri.ni marufuku kuzianika taarifa za infidelator/infideletee kwenye chombo chochote kile cha habari au mitandao.
ngoja nikimbie gesti hapo msasani nika-du ze nidiful then nitarudi!
kwa anaetaka katiba ya ''infidelity'' au kadi ya uanachama anipiemu tu......
WAKO KATIKA UJENZI WA CHAMA,
the king-knowledge is power
CC:
KATIBU-st roya
MHAZINI-asprin
MSHAURI WA CHAMA-fidel
WAPINZANI WA JADI-smiles & beaty kwa ujumla wenu(NA MTAJINYONGA MWAKA HUU)