I may go through your plan,but again tunaweza fikiria ku-temper na moja kati ya rules zetu........!anyways,le me check with other membaazGive me a break pliiiiz!mbavu zangu zinauma.Sasa ukiwa kama mfalme mimi nashauri iwe cocktail party maana kutakuwa hakuna haja ya kuingia nymba ya kulala wageni,ukizingatia nitakuwa sina usingizi
Venue itakuwa church na nitaanza na wewe,so sema na king kama unaruhusiwa
HAHAHAHAHA!unamchekesha ''the king''Time table:
17:30 - 19:30 - Bigirita
19: 30 - 20:30 - Asprin
20:30 - 21:30 - Teamo
hawa watakuwa wametosha kwa leo.
Kesho:
10:00 - 18:00 - Pope Kaizer.
Itakuwa imetosha.
wengine mtaamua ratiba kwa PM[/QUOTE
Asprin nimeshamaliza nae nimemwacha chumba cha f
aragha so rekebisha ratiba,bila kusahau venue ni Church ofisi ya councelling na maombi]
karibu ''the royal palace'' mwanangu
Asprin nimeshamaliza nae nimemwacha chumba cha faragha so rekebisha ratiba,bila kusahau venue ni Church ofisi ya councelling na maombi]
I may go through your plan,but again tunaweza fikiria ku-temper na moja kati ya rules zetu........!anyways,le me check with other membaaz
AU WAIT....!okay okay i think i have an idea........!WE JUST NEED A PLACE TO HAVE IT PERFORMED!YES JUST A PLACE..........ngoja niongee na mjumbe wa bodi ya udhamini kuhusu signecha hii:
WOMEN NEED A REASON TO HAVE SEX,BUT MEN JUST NEED A PLACE
Kulipa si sababu,kumbuka mabadiliko ni kitu cha taratibu hivyo nampa muda najua kidogo2 ataachaKwa maneno wakati mlipokuwa mnapata valuu ila najua kwakuwa haiko kwenye makaratasi basi Kimey bado ni mwanachama hai amelipa ada yake hadi december 31
Kuna guest moja iko maeneo ya bondeni sinza inaitwa Churchill Guest house sasa sijui ulimaanisha hiyo ukabidi uiite jina lake kwa kifupi
Kulipa si sababu,kumbuka mabadiliko ni kitu cha taratibu hivyo nampa muda najua kidogo2 ataacha
Karibu kanisani wiselady....ila naomba uje mda ambao sista gabriela atakua amelala....(ana wivu balaa)....
Says st.roya..
ISC haiachi mbachao kwa msala upitao
Kumbuka viongozi wakuu wanapaswa kuaminika na kuheshimika na watu wote....Mh! asante lkn kwa hiyo tahadhari napaswa kuchukua hatua mapema though nilipanga kutoka na wewe wk end:A S-rose::A S-rose::A S-rose:
katibu nitaomba niikute hii kwenye minutes
UNENAMWA GUEST HOUSE
Nashauri aweke kny minutes"Napaswa kuchukua tahadhari mapema"katibu nitaomba niikute hii kwenye minutes
Nashauri aweke kny minutes"Napaswa kuchukua tahadhari mapema"
Hawa jamaa huwa na gundu nao kila nikienda naambiwa vyumba vimejaa watu wanalipia mwezi mzima nini?
HEHEHEHE!ni muhimu sana kuchukua tahadhari.....!infact mazingira yenyewe ya i.s.c yanahitaji tahadhari,Minuted....
Sasa tahadhari yenyewe itakua ipi.....ofkoz lazima uhakikishe usalama....don worry...minuted!