YAH:kumkaribisha member ''GENERATION-Y'' ndani ya I.S.C

Hivi mkulu huyu kifungo chake ni usiku na mchana, leo tutafunga champagne kwa ajili ya kumkumbuka kabla hatujaenda kumtoa keko
 
Nimeipata...niliisoma hii post nikiwa tayari kwenye lift....Finest Ashura anasema kama huamini nenda kamuulize kama nimeichukua, ila upate huduma kwanza kabla ya kuuliza....(KKN- kizuri kula na nduguyo)

Eliza wa pale JJ na Ashura wa FEA WEI wamenitumia message wanasema vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…