YAH KUTAPELIWA KM UNAMJUA NISAIDIE NIMPATE !

YAH KUTAPELIWA KM UNAMJUA NISAIDIE NIMPATE !

Joined
May 4, 2019
Posts
4
Reaction score
1
MOST WANTED SAIDIA KUSHARE Kwayeyote anayemfahamu huyu jamaa atoe taarifa kituo chochote cha polisi kilicho karibu naye au apige simu kwenda namba hii 0758555076. Amefanya tukio la wizi na utapeli jijini Dodoma siku ya tar 19th / 20th April 2019 majira ya saa 17:20 jioni zawadi nzuri itatolewa Tsh 300,000/= kwayeyote atakayetoa taarifa za kupatikana kwa huyu bwana M/Mungu akubariki!
IMG_20190423_010301_351.jpeg
IMG_20190423_010301_357.jpeg
Screenshot_20190422-211057.jpeg
docment.jpeg
 
Katoka hapa sasa hv;;!!


Joking, tumelipata Tangazo lako ngja tuitafte hyo lak3
MOST WANTED SAIDIA KUSHARE Kwayeyote anayemfahamu huyu jamaa atoe taarifa kituo chochote cha polisi kilicho karibu naye au apige simu kwenda namba hii 0758555076. Amefanya tukio la wizi na utapeli jijini Dodoma siku ya tar 19th / 20th April 2019 majira ya saa 17:20 jioni zawadi nzuri itatolewa Tsh 300,000/= kwayeyote atakayetoa taarifa za kupatikana kwa huyu bwana M/Mungu akubariki!View attachment 1088018View attachment 1088019View attachment 1088020View attachment 1088022
 
mbna nafanana naye? sijui njipeleke/nipate laki 3
 
Wakati nipo songea naona wangoni na wamatengo walikuwa wanachezea sana za uso na vijana wanaotoka mbeya kwa ajili ya kazi ya kupiga pesa kwa mdomo tu. Kwahyo nilivyoona jina sijashangaa ata kidogo. Pole kiongozi inaonekana umechezea za uso pesa nyingi sana nadhani jamaa sasa hivi yupo Harare anakwea INTERCAPE anaelekea Johannesburg
 
Back
Top Bottom