YAH: Kuwahi kumla dada au mdogo wa rafiki yako kwa bahati mbaya au makusudi.

siwezi kumla dada wa rafiki yangu, yani ni kama nitakuwa ninamtia yeye...sa nikicheki yale madevu yake hamu yote inaisha...urafiki ni undugu

kuna siku aliniomba nikampokee mdogo wake ubungo, na ni kisu haswaa afu nimsaidie kumpeleka kwake maana alikuwa anafika saa 6 usiku, jibu langu lilikuwa moja tuu utamfuata nyumbani asubuhi, i treated her good siwezi kumfanyia hivyo rafiki yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimewahi kumla mdogo wa rafiki yangu eeeeeeh! Ila wazazi niwaambieni tu. Huwez kumchunga mtoto wa kike, atakuletea makubwa zaid ya unayomzuia akitoka!
 
Kwa nini mkuu. mbona kawa sana hiyo. Sikuhurumii hata kwa dawa. Umchezee dadangu tena mtoto wa shule. Kaacha shule kisa wewe halafu unam damp ka mavi. Nalipiza mpaka kikuume
Hiyo revenge strategy yako wala haitamuuma huyo jamaa. Ungemkamata umtatue rinda labda naona ndio ungekuwa umemkomoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilikuwa na demu nampenda sana lakini nilikua sijapata kazi kipindi hicho. Kuna jamaa mchaga mfanya biashara akamuoa. ilinichanganya sana akili, demu alinifuata na kunipa mchezo kisha akaniambia kwamba ananipenda sana ila imebidi tu aolewe kwa sababu alizoshindwa kuzikwepa lakini mzigo ataendelea kunipa kila nitapohitaji kwa hiyo nikaendelea nae kwa muda. Kuna kipindi nikakutana nae ameongozana na mdogo wake, mdogo wake ni kitu cha ukweli halafu wamefanana kinoma, baadae nikampigia simu nikamwambia bila kusita kwamba nimempenda mdogo wake na ninahitaji kumuoa ili azibe pengo lake cha ajabu alikubali na akawa anamleta kwangu yeye mwenyewe na mpaka sasa hivi ninavyoandika ni mama watoto wangu. tuna watoto watatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…