Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Ilikuwa bahati mbaya sikurudia tena ila ulikuwa ushawishi mgumu sana nisingeweza kutoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa bahati mbaya sikurudia tena ila ulikuwa ushawishi mgumu sana nisingeweza kutoka.
Aiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Miye nilifanya hivyo kama kumuadhibu jamaa yangu kwa aliyomtenda dadangu. Nikamla mamake tena ka mara mbili hivi.
Duh watu mna roho ngumu shetani arudi shule akasome.Miye nilifanya hivyo kama kumuadhibu jamaa yangu kwa aliyomtenda dadangu. Nikamla mamake tena ka mara mbili hivi.
Hiyo revenge strategy yako wala haitamuuma huyo jamaa. Ungemkamata umtatue rinda labda naona ndio ungekuwa umemkomoa.Kwa nini mkuu. mbona kawa sana hiyo. Sikuhurumii hata kwa dawa. Umchezee dadangu tena mtoto wa shule. Kaacha shule kisa wewe halafu unam damp ka mavi. Nalipiza mpaka kikuume
Asee 😁😄😄Niliwahi kula Mama wa Rafiki yangu.