haha ilikuaje mkuu
uliwezaje mkuu, una roho ngumu sanaNiliwahi kula Mama wa Rafiki yangu.
Mimi nilikuwa na demu nampenda sana lakini nilikua sijapata kazi kipindi hicho. Kuna jamaa mchaga mfanya biashara akamuoa. ilinichanganya sana akili, demu alinifuata na kunipa mchezo kisha akaniambia kwamba ananipenda sana ila imebidi tu aolewe kwa sababu alizoshindwa kuzikwepa lakini mzigo ataendelea kunipa kila nitapohitaji kwa hiyo nikaendelea nae kwa muda. Kuna kipindi nikakutana nae ameongozana na mdogo wake, mdogo wake ni kitu cha ukweli halafu wamefanana kinoma, baadae nikampigia simu nikamwambia bila kusita kwamba nimempenda mdogo wake na ninahitaji kumuoa ili azibe pengo lake cha ajabu alikubali na akawa anamleta kwangu yeye mwenyewe na mpaka sasa hivi ninavyoandika ni mama watoto wangu. tuna watoto watatu
Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuuu mbona savage sanaNiliwahi kula Mama wa Rafiki yangu.
Hapana imebaki heshima tuVipi kuhusu dada yake, hakuwahi taka tena mpashe kiporo ama wewe kutaka?