YAH: Kuwahi kumla dada au mdogo wa rafiki yako kwa bahati mbaya au makusudi.

Ny*ge bwana acha kabisa, yani hawazi kuwa huyu ni rafiki wa mtoto wangu na mama wanaoliwa namna hiyo wanaanzaga wenyewe uchokozi hao kukupima na ukipimika tu unamkunja..
 
Mimi nilikuwa na demu nampenda sana lakini nilikua sijapata kazi kipindi hicho. Kuna jamaa mchaga mfanya biashara akamuoa. ilinichanganya sana akili, demu alinifuata na kunipa mchezo kisha akaniambia kwamba ananipenda sana ila imebidi tu aolewe kwa sababu alizoshindwa kuzikwepa lakini mzigo ataendelea kunipa kila nitapohitaji kwa hiyo nikaendelea nae kwa muda. Kuna kipindi nikakutana nae ameongozana na mdogo wake, mdogo wake ni kitu cha ukweli halafu wamefanana kinoma, baadae nikampigia simu nikamwambia bila kusita kwamba nimempenda mdogo wake na ninahitaji kumuoa ili azibe pengo lake cha ajabu alikubali na akawa anamleta kwangu yeye mwenyewe na mpaka sasa hivi ninavyoandika ni mama watoto wangu. tuna watoto watatu

Sent using Jamii Forums mobile app

Daaaaah safi sana kiongozi. Hongera pia
 
Daaah mbaka leo mshikaji wangu hajui kama nishakapitia kadogo kake, dogo mbaka leo ananiita kaka @@## afu safi tu.

#KikubwaniUhaiTu
 
Mimi nilikuwa na demu nampenda sana lakini nilikua sijapata kazi kipindi hicho. Kuna jamaa mchaga mfanya biashara akamuoa. ilinichanganya sana akili, demu alinifuata na kunipa mchezo kisha akaniambia kwamba ananipenda sana ila imebidi tu aolewe kwa sababu alizoshindwa kuzikwepa lakini mzigo ataendelea kunipa kila nitapohitaji kwa hiyo nikaendelea nae kwa muda. Kuna kipindi nikakutana nae ameongozana na mdogo wake, mdogo wake ni kitu cha ukweli halafu wamefanana kinoma, baadae nikampigia simu nikamwambia bila kusita kwamba nimempenda mdogo wake na ninahitaji kumuoa ili azibe pengo lake cha ajabu alikubali na akawa anamleta kwangu yeye mwenyewe na mpaka sasa hivi ninavyoandika ni mama watoto wangu. tuna watoto watatu

Sent using Jamii Forums mobile app

Vipi kuhusu dada yake, hakuwahi taka tena mpashe kiporo ama wewe kutaka?
 
Back
Top Bottom