Yah: Mkataba wa IGA kati ya Dubai na Serikali ya Tanzania; serikali iitishe kura ya maoni

IPO mahakama ya juu kuliko zote,

Inaitwa mahakama ya umma .

Nabii Mwambukusi ametuahidi kulipeleka suala la DP World huko ikiwa HAKI itaminywa mahakama hizi.
 
Hiyo kura ya maoni itasimamiwa na Uvccm! Hii ni sawa na kwenye shughuri kumpa simba achome mishikaki. Tanzania haiwezi kuwa na kura za haki kwani mwizi wa kura kesha kuwa sugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…