YAH:MWANAFUNZI WA DUCE ALIYEFICHWA

YAH:MWANAFUNZI WA DUCE ALIYEFICHWA

Joined
May 6, 2018
Posts
11
Reaction score
4
Habari zenu,naulizia kama kuna mwandishi yeyote wa habari aliyefatilia yule mwanafunzi wa DUCE aliyekuwa amefichwa muhimbili atutumie hiyo taarifa.Pia kwa yeyote anayepajua chuo cha DUCE anielekeze ili kesho niende nikachukue taarifa hii ndugu zangu.Dogo mwenyewe aliyefungiwa ni huyu hapa chini.Ila naona hawa ni jamii ya akina Abdul Nondo aisee.Hawa vijana wetu wanatakiwa kutulia sana hasa wawapo vyuoni,maana majanga yanakuwa mengi sana.
Screenshot_20180510-161638.jpg
View attachment 772479
Screenshot_20180510-162013.jpg
 
Back
Top Bottom