Yah: Ombi la tenda ya Kubandua nembo kwenye jezi za Simba

Nasema Uongo Ndugu Zangu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
279
Reaction score
779
Kwanza nawapa pole watani kwa chupli chupli nyingi klabuni kwenu.

Kwakuwa changamoto ni fursa, naomba ule mzigo wa jezi zenu muulete kwangu niwasaidie kubandua nembo za mdhamini wenu wa awali ili tuweke nembo ya mdhamini wa B26 zenye utata.

Mods msifute Uzi huu mpaka mtani wangu Barbra ausome na kunipa huo mchongo Nasema Uongo Ndugu Zangu ?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ukipata iyo tenda nijulishe namie mkuu nije tusaidiane kuzibandua
 
Kwanza nawapa pole watani kwa chupli chupli nyingi klabuni kwenu.

Kwakuwa changamoto ni fursa, naomba ule mzigo wa jezi zenu muulete kwangu niwasaidie kubandua nembo za mdhamini wenu wa awali ili tuweke nembo ya mdhamini wa B26 zenye utata.

Mods msifute Uzi huu mpaka mtani wangu Barbra ausome na kunipa huo mchongo Nasema Uongo Ndugu Zangu ?
Nasema Uongo Ndugu Zangu ?

Husemi uongo.
 
Back
Top Bottom