Yah: Tuzo ya Uandikishaji Elimu ya Msingi Tz

Yah: Tuzo ya Uandikishaji Elimu ya Msingi Tz

Gilly

Member
Joined
Aug 6, 2009
Posts
87
Reaction score
9
Ndugu Wanajamii,

Nimepokea taarifa kwamba Tz tumepata tuzo ya Uandikishaji mzuri kwenye Elimu ya Msingi na hivi kufanya vizuri kwenye utekelezaji wa malengo ya milenia.
Ninaomba kama mtu anajua wapi naweza kupata taarifa mzuri kuhusu hili. Kama ninaweza kupata "web site" yenye taarifa hiyo na aina ya tuzo yenyewe.


Gilly
 
Back
Top Bottom