Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiranga,kwani unataka,nini??,kwa hiyo kama she does know ku write songs unasemaje???,please usitake kuaribu moods za watu,u better stay silent if u dont know what u are writing
Tatizo hilo jina tu
Wew kiranga nyie ndo akina yahaya,mnajifanya mnajua kila kitu,samahani lakini...
Kiramga unataka kick na wewe ili uonekane????,please this is not ur level
Nionekane wapi? Level yangu ni ipi? Wewe ni ottoman ombudsman gani mpaka uwe na ujuzi na wajibu na haki ya kuniambia level yangu ni wapi?
Member Array Mkoroshokigori,nimekupenda bureeeeee,thnx kwa marekebisho,wengine hatujasoma kayumba,yaani ndo naona hasara za english medium...
Wew kiranga nyie ndo akina yahaya,mnajifanya mnajua kila kitu,samahani lakini...