Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Mgombea Ubunge Jimbo la Ismani kupitia Chama Cha Wananchi CUF Nassim Yahaya Upete ameendelea na Kampeni za kuomba ridhaa kwa wananchi kwenye Uchaguzi Mdogo Jimbo la Ismani katika Kata ya Kising’a ambapo anewaahidi wananchi wa Kata hiyo kumaliza yale yote yaliyoachwa na Hayati William Lukuvi hivyo wampigie kura za ndiyo ifikapo June Mosi, 2026 Kwani atawatumikia wananchi hao hivyo wamtume.