Yahaya Upete: Pale alipopaacha Lukuvi Ismani mimi nitamalizia

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Mgombea Ubunge Jimbo la Ismani kupitia Chama Cha Wananchi CUF Nassim Yahaya Upete ameendelea na Kampeni za kuomba ridhaa kwa wananchi kwenye Uchaguzi Mdogo Jimbo la Ismani katika Kata ya Kising’a ambapo anewaahidi wananchi wa Kata hiyo kumaliza yale yote yaliyoachwa na Hayati William Lukuvi hivyo wampigie kura za ndiyo ifikapo June Mosi, 2026 Kwani atawatumikia wananchi hao hivyo wamtume.

 

Attachments

  • IMG-20260518-WA0078.jpg
    794.6 KB · Views: 16
anamuunga mkono mgombea ubunge wa CCM kisayansi sana huyo muungwana wa CUF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…