Yahoo sign in

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,108
Reaction score
5,110
Binti yangu amelog in katika computer yangu lakini cha ajabu kila nikifungua yahoo ku sign in nakuta mail address yake na password na niki sign in inakubali.
Mwanzoni nilikuwa nime create seal lakini siku za karibuni imekuwa haitokei.Je ndo nimeingia kwenye hiyo phishing au,naomba msaada.
 
Yani unakuta mail address na password yake??

Halafu una sign in kwa password na adress yake au yako?
 
Sign out and then sign in with yours!Atakua amesave password yake ili akiingia ni ku log in tu bila kuandika chochote!
 
Sign out and then sign in with yours!Atakua amesave password yake ili akiingia ni ku log in tu bila kuandika chochote!
pia unchek ile box ta remember my id and paswd kwa kuwa mnashare pc ili kuwa na privacy na mailboxes zenu
 
pia unchek ile box ta remember my id and paswd kwa kuwa mnashare pc ili kuwa na privacy na mailboxes zenu

una ushauri mzuri lakini hii font uliyotumia......dah
 
Ingia kwenye browser yako unayo tumia click option na clear cache na cookies... Ukifanya hivyo utakuwa umetatua hilo tatizo lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…