Yahoo yatafuta mtaalamu mwenye uzoefu wa miaka 10 wa Claude AI ambayo imezinduliwa mwaka jana

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Kuna hili tangazo la kazi la kampuni ya Yahoo ambalo kwa sasa limekuwa kituko mtandaoni.

Katika tangazo hilo, Yahoo wametangaza wanatafuta mtaalamu wa kompyuta na wakasema mwombaji anapaswa kuwa na "uzoefu wa zaidi ya miaka 10" wa kutumia programu inayoitwa Claude Code.

Kwanini watu wanacheka?
Ni kwa sababu Claude Code ni programu mpya sana ya Akili Bandia (AI) ambayo ilianza kutumika mwaka jana tu (2025). Sasa kama imeanza kutumika mwaka wanatakaje mtu ambaye ana uzoefu wa miaka 10?

Kinachoonekana hapa ni kwamba Makampuni mengi siku hizi yanaweka vigezo vikubwa na majina ya programu mpya za AI kwenye matangazo yao bila hata kujua hizo programu zilianza lini.

Claude.jpg
 
View attachment 3617359
Kwani haiwezi kuwa hiyo program imeanza kufanyiwa utafiti muda mrefu uliopita na sasa hivi tu ndiyo iko public? Software nyingi zinaanza kufanyiwa utafiti muda mrefu kama hazijawekwa kwenye soko
 
Una uhakika AI imeanza mwaka jana? 🤔 🤔. Au umepost tu??
 
Kwani haiwezi kuwa hiyo program imeanza kufanyiwa utafiti muda mrefu uliopita na sasa hivi tu ndiyo iko public? Software nyingi zinaanza kufanyiwa utafiti muda mrefu kama hazijawekwa kwenye soko
Ni kweli kabisa, AI ilianza rasmi mwaka 1956, mpaka sasa miaka 10 imepita ya kutosha.
 
Wewe jilipue utume maombi, wao wenyew watajua cha kufanya
 
Back
Top Bottom