fungi06
JF-Expert Member
- Jul 1, 2020
- 738
- 1,017
Mkuu ukiangalia vizuri utagundua awa jamaa ni ndugu tu
Ona.
Wao wanaita Mungu el (wayahudi)
Wapalestina wanaita Mungu alha
Awa vita yao haitoisha kabisa mpaka Mungu arudi labda.
Maana ukicheki bible inasema watatangatanga, watachukuliwa utumwa, watapigana wao kwa wao. Mpaka wapate msamaha ule Mungu aliowaambia.
Ukiangalia wayahudi wenyewe mwanzo walizichapa mno, maana taifa lao liligawanyikaga kutokana na wale watoto 12 wa Jacob (baba wa taifa la israel), huyu ndo Alipewa agano na Mungu kwamba ataanzisha taifa.
Ukiwaangalia waarabu wa pale palestina na wayahudi kwa haraka hawatofautiani hata kidogo.
Ndo maana hii aiwezi kuitwa genocide.
Lakini ukiangalia utaona kwamba;
Wanapambania resources ambazo now zina run out kwa nguvu mno.
Wote wanataka pembezoni mwa bahari maana wapalestina walifanikiwa kugundua namna yakugeuza maji ya chumvi kwa matumizi ya nyumbani.
Ukiangalia wayahudi wao nao population inakua na pia wanataka sehemh yenye access ya maji kama bahari na mto Jordan.
Hata ugomvi huu mpya wa sasa umetokea baada ya wapalestina kuvamia sherehe ya wayahudi waliyokua wakiifanya, na ni juzi juzi mwenye sherehe inasemekana ni settles alimuua mtoto wa miaka 6 ila akaachiwa huru, hii ikapelekea chuki, kuzidi kukua.
Mji waliovamiwa juzi ni mpakani kabisa ambapo eneo kubwa linamilikiwa na settlers wakiyahudi.
Yani kwa chuki walizonazo waarabu na wayahudi nao wanayo, vile vile pia wanasupport kubwa kulingana na influence yao kwa mataifa ya magharibi juu ya uwezo wakutengeneza silaha nzito nzito. Na heavy tech machine.
Unaambiwa apo gaza siku za kawaida tuu kupata maji nj msala, ila settlers wakiyahudi wanaweza fungulia maji masafi shambani wiki nzima yasikatike.
Hawa ni ndugu sema wametenganishwa na lugha pamoja na mizozo yakifamilia kama tujuavyo mizozo ya familia inavyokuaga tena kwa ndugu wakuzaliwa pamoja hasa hasa.
Mwisho, hawa ni kama simba na fisi now porini, wanauwa watoto kwa ajili ya scarcity ya resources available, in order toprotect their future offspring
Mtazamo wangu kulingana na maelezo ya aljazeera