Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
NENDA KASOME UPYA HIYO SIMBI PORI ULILOMEZA. Wapalestina hawana uhusiano wowote na Ibrahimu. Wapalestina walikuwepo pale kanaani hata kabla ya Ibrahimu. wao ndo waliompokea Ibrahimu na aliishi kati kati yao. kwa amani kama mgeni wao. Ibrahimu ni mfuagji kama Mang'ati na maisha yake ni ya kuhamahama kufuata malisho. Ndo maana kuna kipindi alihamia Misri kufuata malisho.