Yahudi na Palestina ndugu waliotengana muda mrefu nakusahauliana kulingana na mitazamo ifuatayo

NENDA KASOME UPYA HIYO SIMBI PORI ULILOMEZA. Wapalestina hawana uhusiano wowote na Ibrahimu. Wapalestina walikuwepo pale kanaani hata kabla ya Ibrahimu. wao ndo waliompokea Ibrahimu na aliishi kati kati yao. kwa amani kama mgeni wao. Ibrahimu ni mfuagji kama Mang'ati na maisha yake ni ya kuhamahama kufuata malisho. Ndo maana kuna kipindi alihamia Misri kufuata malisho.
 
Ww kweli kiazi,, sasa unamuongelea abraham kazaliwa juzi mm naongelea kwanzia enzi za akina nuhu mkuu acha kusomea njiti ya kiberiti
 
Settler's wanaitaji ardhi, wakulima wanaitaji ardhi, wavugaji wanaitaji ardhi,

Elon musk kaona isiwe shida acha akajichukulie mahectare kule Mars, na mtanunua ardhi mpaka Mars, yangu macho
 
Uongo.Watoto wa Ismael ni wasaudia.Ibrahimu aliitwa na MUNGU toka Uru ya wakaldayo (Iraq) aende Palestine.Hapo hakuwa na mtoto hata mmoja.Si Ismael wala Is-haqa.Alipofika hapo aliwakuta wenyeji(wapalestina au wafilisti).
 
Uongo.Watoto wa Ismael ni wasaudia.Ibrahimu aliitwa na MUNGU toka Uru ya wakaldayo (Iraq) aende Palestine.Hapo hakuwa na mtoto hata mmoja.Si Ismael wala Is-haqa.Alipofika hapo aliwakuta wenyeji(wapalestina au wafilisti).
wapalestina/wafilisti ndiyo watoto wa nani?
 
Kizazi Cha Esau kipi Kwa sasa
 
Nawakubali mno kuwa na wake wengi, maisha yalikuwa peace
 
Sasa si ngozi ngumu tulitokea wapi?
 
Wafilisti Walizaliwa na Misri Mwana wa Hamu mtoto wa Nuhu.

Wana wa Ishmaeli Kutoka Ibrahim wanadai ni Saudia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…