shahazady mustafa
Senior Member
- Oct 1, 2018
- 110
- 56
Jamani jamani, nmeamua kuachana na mitandao yote ya kijamii na kujiunga ktk familia hii kama syo ukoo huu wa wana jf ili kuwa nanyi pmj ktk yanayo jiri na kubadilishana mawazo na mambo yote ya kijamii yanayoizungu dunia yetu hii, kwa hayo machache naomba nijirushe juu na kisha nidondokee humu ndani ya jamii f hodiiiiiiiiiii, hayaaaaaaa.... Nipo ndani sasa!!