CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Alafu usikute mtoa post hana hata kadi ya uanachama wa Simba timu la kimataifaNINAKARIBIA KUJIONDOA Simba kwa MATOKEO mabaya na uzembe mkubwa wa viongozi kamati ya usajili nk.
1. Uhalali wa Kuwepo kwa bilioni20.
Una Bilioni 20 unashindwa kusajili.
1. Victoria Adebayor.
2. Stephen Azizi key.
3. Cezar Lobi Manzoki.
6.Luis Joseph Miquesson.
7. Abdul Suleiman Sopu.
8. Fabrice Ngoma.
9. Bobosi nk.
2 .kama Simba ikishindwa kusajili Manzoki na KIUNGO MKABAJI NAJITOA SIMBA NA MPILA WA TANZANIA KWA UJUMLA.
3. Wazee hawathaminiwi.
Ngoja nisubiei dilisha lifungwe nitaelezea yote ya msimbazi.
OLE WAO WASHINDWE KUSAJILI USAJILI UNAFUNGWA 30 AUGUST.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππAlafu usikute mtoa post hana hata kadi ya uanachama wa Simba timu la kimataifa
Anyway
Mlete mdhunguuuView attachment 2324909
Shule zifunguliwe mrudi kusoma,mnatujazia server tu na mautumbo yenu!NINAKARIBIA KUJIONDOA Simba kwa MATOKEO mabaya na uzembe mkubwa wa viongozi kamati ya usajili nk.
1. Uhalali wa Kuwepo kwa bilioni20.
Una Bilioni 20 unashindwa kusajili.
1. Victoria Adebayor.
2. Stephen Azizi key.
3. Cezar Lobi Manzoki.
6.Luis Joseph Miquesson.
7. Abdul Suleiman Sopu.
8. Fabrice Ngoma.
9. Bobosi nk.
2 .kama Simba ikishindwa kusajili Manzoki na KIUNGO MKABAJI NAJITOA SIMBA NA MPILA WA TANZANIA KWA UJUMLA.
3. Wazee hawathaminiwi.
Ngoja nisubiei dilisha lifungwe nitaelezea yote ya msimbazi.
OLE WAO WASHINDWE KUSAJILI USAJILI UNAFUNGWA 30 AUGUST.
Alafu usikute mtoa post hana hata kadi ya uanachama wa Simba timu la kimataifa
Anyway
Mlete mdhunguuuView attachment 2324909
Kitenge kamtungia Hadi igizo....pale redion kwao[emoji23][emoji23]Huyu jamaa kaz anayo
.NINAKARIBIA KUJIONDOA Simba kwa MATOKEO mabaya na uzembe mkubwa wa viongozi kamati ya usajili nk.
1. Uhalali wa Kuwepo kwa bilioni20.
Una Bilioni 20 unashindwa kusajili.
1. Victoria Adebayor.
2. Stephen Azizi key.
3. Cezar Lobi Manzoki.
6.Luis Joseph Miquesson.
7. Abdul Suleiman Sopu.
8. Fabrice Ngoma.
9. Bobosi nk.
2 .kama Simba ikishindwa kusajili Manzoki na KIUNGO MKABAJI NAJITOA SIMBA NA MPILA WA TANZANIA KWA UJUMLA.
3. Wazee hawathaminiwi.
Ngoja nisubiei dilisha lifungwe nitaelezea yote ya msimbazi.
OLE WAO WASHINDWE KUSAJILI USAJILI UNAFUNGWA 30 AUGUST.
Mona zittokablela alihamaKuhama klabu unayoshabikia sio rahisi....labda ulikuwa mshabiki wa matokeo mazuri tu.
Hili swali kuhusu Manzoki wanakwepa kulijibu. Hivi Manzoki yupi anayeongelewa kuwa tiba ya matatizo ya Simba zaidi ya huyu wa Vipers tunayemjua? Ni kwamba hakabiki, hakosi magoli, ni super goal getter?Hii mikwara yenu ya nitaleta story kuhusu Simba naona bora muiache tu.
Kwani Manzoki akija ndio Simba SC haitafungwa?