Yahusu kujiondoa Simba

Yahusu kujiondoa Simba

huwezi kuyakimbia matatizo mkuu kutatua tatizo ndo uk0mavu wa akili.naamini hata Simba watakau na mikakati ya kutataua changamoto zilizopo sasa
 
NINAKARIBIA KUJIONDOA Simba kwa MATOKEO mabaya na uzembe mkubwa wa viongozi kamati ya usajili nk.

1. Uhalali wa Kuwepo kwa bilioni20.
Una Bilioni 20 unashindwa kusajili.
1. Victoria Adebayor.
2. Stephen Azizi key.
3. Cezar Lobi Manzoki.
6.Luis Joseph Miquesson.
7. Abdul Suleiman Sopu.
8. Fabrice Ngoma.
9. Bobosi nk.

2 .kama Simba ikishindwa kusajili Manzoki na KIUNGO MKABAJI NAJITOA SIMBA NA MPILA WA TANZANIA KWA UJUMLA.

3. Wazee hawathaminiwi.
Ngoja nisubiei dilisha lifungwe nitaelezea yote ya msimbazi.

OLE WAO WASHINDWE KUSAJILI USAJILI UNAFUNGWA 30 AUGUST.
Ila wewe jamaa unafurahisha! 😁😁

Sasa hapo ulipo una impact gani kwenye hiyo timu!! Yaani unatoa mashinikizo kama vile na wewe ni mbia wa klabu! Kumbe unaweza kuta ni mshabiki tu maandazi, usiye hata na kadi ya uanachama.
 
IMG_20220814_203004_024.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili swali kuhusu Manzoki wanakwepa kulijibu. Hivi Manzoki yupi anayeongelewa kuwa tiba ya matatizo ya Simba zaidi ya huyu wa Vipers tunayemjua? Ni kwamba hakabiki, hakosi magoli, ni super goal getter?
Hebu acheni basi, mnampamba mno Manzoki jamani Lakini ni mchezaji wa kawaida sana. Walichokifanya Vipers siku ya Yanga day kibiashara kilikuwa muhimu sana kwao. Mngemuona siku hiyo na hamu ya kuendelea naye ingepungua. Mngebaki mnabishana labda kwa vile ni mechi moja, labda atabadilika, labda uchovu. Mwacheni kocha aende na Mtu anayemwamini. Simba kwa sasa ina strikers 3, na kocha kaleta anayemwamini kwenye mfumo wake, Dejan. Hamuwezi kumbadili wakati mkataba wa Dejan na Simba unawataka awe regular starter na Simba imempangia malengo ya mafanikio.
Regular starter gani na wewe em tulia, hamna cha mkataba kumtaka wala nini.

Manzoki atakuja wakati ukifika na atakiwasha tu, mapropaganda yenu yapunguzeni.

He is Uganda PL top goal scorer with 18 league goals.
 
Wala hatukuhitaji. Umejifunza kushangilia Simba juzijuzi tu. Watoto hamna roho ya kiume kidogo tu mnalegea. We ukishikwa hata tako kidogo tu lazima utalegeza. Huwezi kukaza.
 
Ntaendelea kuwa SIMBA SPORTS CLUB no matter what, kila jambo na wakati wake, upo mda wa kufungwa ili tutambue madhaifu tujipange, na upo mda wa kufunga tufurahi tujue kilicho bora tukitunze kidumu, Watoka simba wote wanafiki na wazandiki ili tu baki wana MSIMBAZI HALISI, kama hakuna watu wenye vifua vya ku vumilia na kujitathmini katika mpira tuta wapata kweeli kwenye
Ndoa?
Siasa?
Ujenzi wa Taifa letu?
Ni nyakati za dhiki kweli ila yatupasa tuwe pamoja na kuziba panapo vuja...
Tubaki kuwa UNSTOPPABLE katika umoja na Upendo wa DHATI kwa Club yetu...
THIS IS SIMBA
tapatalk_jpeg_1640461853627.jpg
 
NINAKARIBIA KUJIONDOA Simba kwa MATOKEO mabaya na uzembe mkubwa wa viongozi kamati ya usajili nk.

1. Uhalali wa Kuwepo kwa bilioni20.
Una Bilioni 20 unashindwa kusajili.
1. Victoria Adebayor.
2. Stephen Azizi key.
3. Cezar Lobi Manzoki.
6.Luis Joseph Miquesson.
7. Abdul Suleiman Sopu.
8. Fabrice Ngoma.
9. Bobosi nk.

2 .kama Simba ikishindwa kusajili Manzoki na KIUNGO MKABAJI NAJITOA SIMBA NA MPILA WA TANZANIA KWA UJUMLA.

3. Wazee hawathaminiwi.
Ngoja nisubiei dilisha lifungwe nitaelezea yote ya msimbazi.

OLE WAO WASHINDWE KUSAJILI USAJILI UNAFUNGWA 30 AUGUST.
Wahi,hatuhitaji vilaza,fuata vilaza wenzako Utopolo
 
NINAKARIBIA KUJIONDOA Simba kwa MATOKEO mabaya na uzembe mkubwa wa viongozi kamati ya usajili nk.

1. Uhalali wa Kuwepo kwa bilioni20.
Una Bilioni 20 unashindwa kusajili.
1. Victoria Adebayor.
2. Stephen Azizi key.
3. Cezar Lobi Manzoki.
6.Luis Joseph Miquesson.
7. Abdul Suleiman Sopu.
8. Fabrice Ngoma.
9. Bobosi nk.

2 .kama Simba ikishindwa kusajili Manzoki na KIUNGO MKABAJI NAJITOA SIMBA NA MPILA WA TANZANIA KWA UJUMLA.

3. Wazee hawathaminiwi.
Ngoja nisubili dilisha lifungwe nitaelezea yote ya msimbazi.

OLE WAO WASHINDWE KUSAJILI USAJILI UNAFUNGWA 30 AUGUST.

MASHABIKI NA WANACHAMA KINDAKINDAKI TUPO TAYARI KUCHANGIA USAJILI.
Toka tu huna lolote la maana shabiki maandazi
 
Mkuu usijiondoe mimi juzi nilikufa wakaibeba maiti yangu kwenye power tila, uku mtaani washabiki wa simba tumekua wanyonge sana
 
Hivi hizi kelele zote ni kutokana na kufungwa na Yanga au kunalingine? Maama mnatujazia sever tu hapa.
 
Back
Top Bottom