Yahusu kujiondoa Simba

huwezi kuyakimbia matatizo mkuu kutatua tatizo ndo uk0mavu wa akili.naamini hata Simba watakau na mikakati ya kutataua changamoto zilizopo sasa
 
Ila wewe jamaa unafurahisha! 😁😁

Sasa hapo ulipo una impact gani kwenye hiyo timu!! Yaani unatoa mashinikizo kama vile na wewe ni mbia wa klabu! Kumbe unaweza kuta ni mshabiki tu maandazi, usiye hata na kadi ya uanachama.
 
Regular starter gani na wewe em tulia, hamna cha mkataba kumtaka wala nini.

Manzoki atakuja wakati ukifika na atakiwasha tu, mapropaganda yenu yapunguzeni.

He is Uganda PL top goal scorer with 18 league goals.
 
Wala hatukuhitaji. Umejifunza kushangilia Simba juzijuzi tu. Watoto hamna roho ya kiume kidogo tu mnalegea. We ukishikwa hata tako kidogo tu lazima utalegeza. Huwezi kukaza.
 
Ntaendelea kuwa SIMBA SPORTS CLUB no matter what, kila jambo na wakati wake, upo mda wa kufungwa ili tutambue madhaifu tujipange, na upo mda wa kufunga tufurahi tujue kilicho bora tukitunze kidumu, Watoka simba wote wanafiki na wazandiki ili tu baki wana MSIMBAZI HALISI, kama hakuna watu wenye vifua vya ku vumilia na kujitathmini katika mpira tuta wapata kweeli kwenye
Ndoa?
Siasa?
Ujenzi wa Taifa letu?
Ni nyakati za dhiki kweli ila yatupasa tuwe pamoja na kuziba panapo vuja...
Tubaki kuwa UNSTOPPABLE katika umoja na Upendo wa DHATI kwa Club yetu...
THIS IS SIMBA
 
Wahi,hatuhitaji vilaza,fuata vilaza wenzako Utopolo
 
Toka tu huna lolote la maana shabiki maandazi
 
Mkuu usijiondoe mimi juzi nilikufa wakaibeba maiti yangu kwenye power tila, uku mtaani washabiki wa simba tumekua wanyonge sana
 
Hivi hizi kelele zote ni kutokana na kufungwa na Yanga au kunalingine? Maama mnatujazia sever tu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…