Umeona kusajili sajili bila formula, haya Aziz Ki yuleee kapewa mihela karibia yote ya faida ya ligi kuu, halafu jamaa makundi club bingwa wamekwama, na huko shirikisho hatihati. Morisson kawa kama kumbi kumbi.
Dawa yao ni kuwapa mpira mchezee halafu mtu anapanda anawakanda. Mgunda ile mechi yenu ya mwisho na Coastal ndio atafanya kile kitu huku akizuia magoli, ubakula chuma 3