Nakusudia kumwandikia barua rasmi Balozi wa Papa Nchini, Mwadhama Ask. Angelo Accattino na kumwomba mara tu Papa mpya atakapochaguliwa kwa ushawishi wake wa kimataifa(Papa) atusaidie Watanzania kukomesha vitendo vya kuteka na kuumiza watu.
Vitendo hivi vitakoma ikiwa tu viongozi wetu watachaguliwa na wananchi na yule aliyechaguliwa kwa uhalali ndiye atakayetangazwa. Wengi tunaamini, SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU, hivyo Kiongozi akichaguliwa na walio wengi na kutangazwa atafanya kazi yake akiwa na hofu ya Mungu ndani yake na hivyo atakuwa mtumishi wa wananchi waliomchagua kwa hiyo atasimama imara kuwatetea wananchi wake.