Akomeshe kwanza makasisi kulawiti vitoto vidogo.Nakusudia kumwandikia barua rasmi Balozi wa Papa Nchini, Mwadhama Ask. Angelo Accattino na kumwomba mara tu Papa mpya atakapochaguliwa kwa ushawishi wake wa kimataifa(Papa) atusaidie Watanzania kukomesha vitendo vya kuteka na kuumiza watu.
Vitendo hivi vitakoma ikiwa tu viongozi wetu watachaguliwa na wananchi na yule aliyechaguliwa kwa uhalali ndiye atakayetangazwa. Wengi tunaamini, SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU, hivyo Kiongozi akichaguliwa na walio wengi na kutangazwa atafanya kazi yake akiwa na hofu ya Mungu ndani yake na hivyo atakuwa mtumishi wa wananchi waliomchagua kwa hiyo atasimama imara kuwatetea wananchi wake.
Anuani hizi hapa..Nakusudia kumwandikia barua rasmi Balozi wa Papa Nchini, Mwadhama Ask. Angelo Accattino na kumwomba mara tu Papa mpya atakapochaguliwa kwa ushawishi wake wa kimataifa(Papa) atusaidie Watanzania kukomesha vitendo vya kuteka na kuumiza watu.
Vitendo hivi vitakoma ikiwa tu viongozi wetu watachaguliwa na wananchi na yule aliyechaguliwa kwa uhalali ndiye atakayetangazwa. Wengi tunaamini, SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU, hivyo Kiongozi akichaguliwa na walio wengi na kutangazwa atafanya kazi yake akiwa na hofu ya Mungu ndani yake na hivyo atakuwa mtumishi wa wananchi waliomchagua kwa hiyo atasimama imara kuwatetea wananchi wake.
Ahsante sana ndugu kwa kunipa Anwani.Anuani hizi hapa..
Apostolic Nunciature of Holy See (Vatican City) in Dar-es-Salaam
Address
Plot N. 146
Haile Selasie Road
Oyesterbay
P.O. Box 480
Dar-es-Salaam
Tanzania
Phone
+255-22-266-6422
+255-22-266-7771
Fax
+255-22-266-8059
nunzio@cats-net.com
Ayatollah ana unasaba na wahujumu uchumi wetu, hivyo hawezi kutusaidia.Labda umwandikie Ayatollah wa Iran naweza kusaidia zaidi
Mambo yote yatakwenda simultaneously.Akomeshe kwanza makasisi kulawiti vitoto vidogo.
hadi tulipofikia wakuisaidia Tanzania ni sisi wananchi wenyewe.--- tofauti na hapa ni siasa tuNakusudia kumwandikia barua rasmi Balozi wa Papa Nchini, Mwadhama Ask. Angelo Accattino na kumwomba mara tu Papa mpya atakapochaguliwa kwa ushawishi wake wa kimataifa(Papa) atusaidie Watanzania kukomesha vitendo vya kuteka na kuumiza watu.
Vitendo hivi vitakoma ikiwa tu viongozi wetu watachaguliwa na wananchi na yule aliyechaguliwa kwa uhalali ndiye atakayetangazwa. Wengi tunaamini, SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU, hivyo Kiongozi akichaguliwa na walio wengi na kutangazwa atafanya kazi yake akiwa na hofu ya Mungu ndani yake na hivyo atakuwa mtumishi wa wananchi waliomchagua kwa hiyo atasimama imara kuwatetea wananchi wake.
Pole sana mkuu kwa kulawitiwaAkomeshe kwanza makasisi kulawiti vitoto vidogo.
Pole ya kwanza iwe kwa baba yako.Pole sana mkuu kwa kulaitiwa
Kwani yeye ni polisi wa Tanzania ,Nakusudia kumwandikia barua rasmi Balozi wa Papa Nchini, Mwadhama Ask. Angelo Accattino na kumwomba mara tu Papa mpya atakapochaguliwa kwa ushawishi wake wa kimataifa(Papa) atusaidie Watanzania kukomesha vitendo vya kuteka na kuumiza watu.
Vitendo hivi vitakoma ikiwa tu viongozi wetu watachaguliwa na wananchi na yule aliyechaguliwa kwa uhalali ndiye atakayetangazwa. Wengi tunaamini, SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU, hivyo Kiongozi akichaguliwa na walio wengi na kutangazwa atafanya kazi yake akiwa na hofu ya Mungu ndani yake na hivyo atakuwa mtumishi wa wananchi waliomchagua kwa hiyo atasimama imara kuwatetea wananchi wake.
Point. Hawa akina mwamposa Wana impact kubwa Sana Kwa maisha yetu Kama sio kutuinua Basi NI utapeli .Anza kumuandikia Mwamposa mkuu, charity begins at home
Mwamposa atatuchelewesha tu. Zaidi sana atatupatia maji ya upako na kutuambia tujipake hayo maji usoni kisha twende kuvamia kambi ya jeshi, na wakitupiga risasi zitageuka kuwa maji.Anza kumuandikia Mwamposa mkuu, charity begins at home
Tunataka mtu mwenye ushawishi kimataifa. Papa ana Balozi katika Nchi mbalimbali Duniani ikiwa ni pamoja na Umoja wa Mataifa kuna kiti cha Papa.Point. Hawa akina mwamposa Wana impact kubwa Sana Kwa maisha yetu Kama sio kutuinua Basi NI utapeli .
Tungeanza nao Kwanza kabla hatujaenda Kwa pope.