Yahusu kupandikiza tawi la mti

Yahusu kupandikiza tawi la mti

Umkonto

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
2,652
Reaction score
4,593
Sijui jina halisi la kitaalamu lakini suala lenyewe lipo hivi.

Nikiwa mdogo nilishawahi kuona hii kitu kijijini, leo hii na mimi nataka nikafunge udongo kwenye tawi la miti ya milimao na michungwa halafu baada ya muda mizizi ikitoka nikate nikapande.

Lengo la kufanya hivi nataka niwahi kupata matunda.

Maswali:

1. Je, life span ya huo mti ipoje?
2. Ubora wa tunda utakuwaje?

Kwenu watalamu wa kilimo.
 
Kuna aina kadhaa za kufanya layering ila media ndio tofauti,kama ukiweza tumia malanda
 
Back
Top Bottom