Sijui jina halisi la kitaalamu lakini suala lenyewe lipo hivi.
Nikiwa mdogo nilishawahi kuona hii kitu kijijini, leo hii na mimi nataka nikafunge udongo kwenye tawi la miti ya milimao na michungwa halafu baada ya muda mizizi ikitoka nikate nikapande.
Lengo la kufanya hivi nataka niwahi kupata matunda.
Maswali:
1. Je, life span ya huo mti ipoje?
2. Ubora wa tunda utakuwaje?
Kwenu watalamu wa kilimo.