Yahusu: Utapeli unaofanywa na Kampuni ya Kimchina iliyopo Salasala, Dar es salaam

Mwendajr

Member
Joined
Jan 29, 2025
Posts
6
Reaction score
9
Habari ya leo wana JamiiForums wenzangu na waTanzania wenzangu,

Napenda kuwaletea habari hii inayuhusu kampuni moja inayoitwa Agiza Kimchina ambayo ipo maeneo ya Salasala katika jengo la Kimchina Dar es Salaam, Mke wangu aliagiza simu kutoka china kupitia kampuni hiyo toka mwaka jana mwezi wa sita na mpaka mwaka huu simu hazijafika, mke wangu alitake trouble ya kufuatilia baada ya kufika ofisini kwao wakamuambia kuwa simu zilikuja lakini zikawa mbovu so zikarudishwa China

Wakamuahidi baada ya mwezi watampigia cha kushangaza ukiwapigia simu hawapokei na hawana ushirikiano wowote

Naomba kutoa angalizo kwa waTanzania wenzangu hawa watu ni matapeli na maamuzi nilichukua ni kwenda ofisini kwao na Polisi, kwa sasa naelekea kituo cha Polisi kwa ajiri ya kuchukua RB na kufanya utaratibu wa kwenda ofisini kwao ili nipate kurudishiwa pesa zangu ambayo ilikuwa 200,000/= ya simu pamoja na 98,000/= ya usafiri.

Naomba mnisaidie kusambaza hii taarifa.
 
Ni stahiki yako kuibiwa. Maduka ya simu yaliyojaa nchi hii, ulikuwa na haja gani ya kuagizia toka China kwa mtu ambae hata humjui mbali ya kumuona Instagram.

Mimi nipo Korea, nitumie laki moja tu, nakuletea Samsung S25 Ultra, 1TB Storage. Tena wala hulipii usafiri.
 
ww kweli boya yaani utoe 200,000 kuagiza simu china na bado eti ukatoa 98,000 kwa ajili ya usafiri toka china..kwanza simu gani gharama ya kuisafirisha inafika 98,000 kwa simu ya laki mbili tu..sasa itakuwa vp kwa wale wanaoagiza simu za milion 1 hadi 2 wanachajiwa gharama gani za usafiri..ebu tuambie ni simu aina gani uliagiza huko china ambayo kwa laki 3 uliyotoa ungeikosa hapa bongo.
 
Habari ya leo wana JamiiForums wenzangu na waTanzania wenzangu,

Napenda kuwaletea habari hii inayuhusu kampuni moja inayoitwa Agiza Kimchina ambayo ipo maeneo ya Salasala katika jengo la Kimchina Dar es Salaam, Mke wangu aliagiza simu kutoka china kupitia kampuni hiyo toka mwaka jana mwezi wa sita na mpaka mwaka huu simu hazijafika, mke wangu alitake trouble ya kufuatilia baada ya kufika ofisini kwao wakamuambia kuwa simu zilikuja lakini zikawa mbovu so zikarudishwa China

Wakamuahidi baada ya mwezi watampigia cha kushangaza ukiwapigia simu hawapokei na hawana ushirikiano wowote

Naomba kutoa angalizo kwa waTanzania wenzangu hawa watu ni matapeli na maamuzi nilichukua ni kwenda ofisini kwao na Polisi, kwa sasa naelekea kituo cha Polisi kwa ajiri ya kuchukua RB na kufanya utaratibu wa kwenda ofisini kwao ili nipate kurudishiwa pesa zangu ambayo ilikuwa 200,000/= ya simu pamoja na 98,000/= ya usafiri.

Naomba mnisaidie kusambaza hii taarifa.
Ndo maana huwa sishauri kabisa ndoa za jinsia moja. Hapo kwenu angalau mmoja angekuwa mwanaume wala asingefikiria ujinga wa kuagiza simu ya 300,000. Mwanaume angesema upuuzi. Angeenda town akanunua na kumpelekea mkewe.nyie wadada wote mmekutana pipa na mfuniko.
 
Habari ya leo wana JamiiForums wenzangu na waTanzania wenzangu,

Napenda kuwaletea habari hii inayuhusu kampuni moja inayoitwa Agiza Kimchina ambayo ipo maeneo ya Salasala katika jengo la Kimchina Dar es Salaam, Mke wangu aliagiza simu kutoka china kupitia kampuni hiyo toka mwaka jana mwezi wa sita na mpaka mwaka huu simu hazijafika, mke wangu alitake trouble ya kufuatilia baada ya kufika ofisini kwao wakamuambia kuwa simu zilikuja lakini zikawa mbovu so zikarudishwa China

Wakamuahidi baada ya mwezi watampigia cha kushangaza ukiwapigia simu hawapokei na hawana ushirikiano wowote

Naomba kutoa angalizo kwa waTanzania wenzangu hawa watu ni matapeli na maamuzi nilichukua ni kwenda ofisini kwao na Polisi, kwa sasa naelekea kituo cha Polisi kwa ajiri ya kuchukua RB na kufanya utaratibu wa kwenda ofisini kwao ili nipate kurudishiwa pesa zangu ambayo ilikuwa 200,000/= ya simu pamoja na 98,000/= ya usafiri.

Naomba mnisaidie kusambaza hii taarifa.
MLICHOFANYA WEWE NA MKE WAKO NI UPUMBAVU.
MWANAUME NA MWANAMKE WAKIWA WAJINGA HIYO FAMILIA MNATENGENEZA KIKUNDI CHA WAPUMBAVU.

HIVI KARNE HII NIMPE MTU HELA ANIAGIZIE SIMU CHINA?

TAPELI MMOJA KATI YA HAO,ANA AKILI KULIKO WEWE NA MKEO COMBINED.
 
Napenda kuwaletea habari hii inayuhusu kampuni moja inayoitwa Agiza Kimchina ambayo ipo maeneo ya Salasala katika jengo la Kimchina Dar es Salaam, Mke wangu aliagiza simu kutoka china kupitia kampuni hiyo toka mwaka jana mwezi wa sita na mpaka mwaka huu simu hazijafika, mke wangu alitake trouble ya kufuatilia baada ya kufika ofisini kwao wakamuambia kuwa simu zilikuja lakini zikawa mbovu so zikarudishwa China

View: https://www.facebook.com/reel/2821449361350539
 
Habari ya leo wana JamiiForums wenzangu na waTanzania wenzangu,

Napenda kuwaletea habari hii inayuhusu kampuni moja inayoitwa Agiza Kimchina ambayo ipo maeneo ya Salasala katika jengo la Kimchina Dar es Salaam, Mke wangu aliagiza simu kutoka china kupitia kampuni hiyo toka mwaka jana mwezi wa sita na mpaka mwaka huu simu hazijafika, mke wangu alitake trouble ya kufuatilia baada ya kufika ofisini kwao wakamuambia kuwa simu zilikuja lakini zikawa mbovu so zikarudishwa China

Wakamuahidi baada ya mwezi watampigia cha kushangaza ukiwapigia simu hawapokei na hawana ushirikiano wowote

Naomba kutoa angalizo kwa waTanzania wenzangu hawa watu ni matapeli na maamuzi nilichukua ni kwenda ofisini kwao na Polisi, kwa sasa naelekea kituo cha Polisi kwa ajiri ya kuchukua RB na kufanya utaratibu wa kwenda ofisini kwao ili nipate kurudishiwa pesa zangu ambayo ilikuwa 200,000/= ya simu pamoja na 98,000/= ya usafiri.

Naomba mnisaidie kusambaza hii taarifa.
Kwa nlivokuelewa ,nikuwa simu umeagiza mwenyewe ila hao jamaa wanakusafirishia ,Si ndio

Kama wamewatapeli kiivyo Fanya mpango upate chako...Na siku nyingine msirudie tenah kutumia Kampuni ambayo haiaminiki na wengi
 
Back
Top Bottom