Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ww kweli boya yaani utoe 200,000 kuagiza simu china na bado eti ukatoa 98,000 kwa ajili ya usafiri toka china..kwanza simu gani gharama ya kuisafirisha inafika 98,000 kwa simu ya laki mbili tu..sasa itakuwa vp kwa wale wanaoagiza simu za milion 1 hadi 2 wanachajiwa gharama gani za usafiri..ebu tuambie ni simu aina gani uliagiza huko china ambayo kwa laki 3 uliyotoa ungeikosa hapa bongo.
Hiyo ni kesi ya madai broda.Habari ya leo wana JamiiForums wenzangu na waTanzania wenzangu,
Napenda kuwaletea habari hii inayuhusu kampuni moja inayoitwa Agiza Kimchina ambayo ipo maeneo ya Salasala katika jengo la Kimchina Dar es Salaam, Mke wangu aliagiza simu kutoka china kupitia kampuni hiyo toka mwaka jana mwezi wa sita na mpaka mwaka huu simu hazijafika, mke wangu alitake trouble ya kufuatilia baada ya kufika ofisini kwao wakamuambia kuwa simu zilikuja lakini zikawa mbovu so zikarudishwa China
Wakamuahidi baada ya mwezi watampigia cha kushangaza ukiwapigia simu hawapokei na hawana ushirikiano wowote
Naomba kutoa angalizo kwa waTanzania wenzangu hawa watu ni matapeli na maamuzi nilichukua ni kwenda ofisini kwao na Polisi, kwa sasa naelekea kituo cha Polisi kwa ajiri ya kuchukua RB na kufanya utaratibu wa kwenda ofisini kwao ili nipate kurudishiwa pesa zangu ambayo ilikuwa 200,000/= ya simu pamoja na 98,000/= ya usafiri.
Naomba mnisaidie kusambaza hii taarifa.
sema.ukweli mkuu hauko tabata😅😅ndugu yangu sitaki dhima ya wizi niishie kukutapeli, nimemuandikia nipo Korea kwa kumsanifu tu. Nipo zangu Tabata hapa.
Simu za laki mbili zipo kibao, Ila hadi waagize China hahahaa ushamba mzigo! Alafu sijui mchawi yule, mbona kalalamikiwa muda sana?Kimchina ni tapeli aliyekubuhu toka sikunyingi watu wamempost instergram Kila siku lakin watu hawasikii bado wanaenda kuagiza acha mtapeliwe tu
Watu wanapenda vya dezo ndo vinawaumiza nakuwatokea puanSimu za laki mbili zipo kibao, Ila hadi waagize China hahahaa ushamba mzigo! Alafu sijui mchawi yule, mbona kalalamikiwa muda sana?
Laki mbili au milioni mbili?Habari ya leo wana JamiiForums wenzangu na waTanzania wenzangu,
Napenda kuwaletea habari hii inayuhusu kampuni moja inayoitwa Agiza Kimchina ambayo ipo maeneo ya Salasala katika jengo la Kimchina Dar es Salaam, Mke wangu aliagiza simu kutoka china kupitia kampuni hiyo toka mwaka jana mwezi wa sita na mpaka mwaka huu simu hazijafika, mke wangu alitake trouble ya kufuatilia baada ya kufika ofisini kwao wakamuambia kuwa simu zilikuja lakini zikawa mbovu so zikarudishwa China
Wakamuahidi baada ya mwezi watampigia cha kushangaza ukiwapigia simu hawapokei na hawana ushirikiano wowote
Naomba kutoa angalizo kwa waTanzania wenzangu hawa watu ni matapeli na maamuzi nilichukua ni kwenda ofisini kwao na Polisi, kwa sasa naelekea kituo cha Polisi kwa ajiri ya kuchukua RB na kufanya utaratibu wa kwenda ofisini kwao ili nipate kurudishiwa pesa zangu ambayo ilikuwa 200,000/= ya simu pamoja na 98,000/= ya usafiri.
Naomba mnisaidie kusambaza hii taarifa.
Tecno canon 30 pro bongo 700. Kule 200 plus plus 50kww kweli boya yaani utoe 200,000 kuagiza simu china na bado eti ukatoa 98,000 kwa ajili ya usafiri toka china..kwanza simu gani gharama ya kuisafirisha inafika 98,000 kwa simu ya laki mbili tu..sasa itakuwa vp kwa wale wanaoagiza simu za milion 1 hadi 2 wanachajiwa gharama gani za usafiri..ebu tuambie ni simu aina gani uliagiza huko china ambayo kwa laki 3 uliyotoa ungeikosa hapa bongo.
Manina ha ha haa
Watoto wao ndio mtaji wa CCM wa miaka ijayo, maana akili hizo za wazazi, basi watoto lazima wawe "CCM" mara elfu.Ndege wanao fanana huruka pamoja we na mkeo ni Viazi wote ,salamu za pole ziende .kwa watoto wenu
Unataka umnyooshe sio 😀Ni stahiki yako kuibiwa. Maduka ya simu yaliyojaa nchi hii, ulikuwa na haja gani ya kuagizia toka China kwa mtu ambae hata humjui mbali ya kumuona Instagram.
Mimi nipo Korea, nitumie laki moja tu, nakuletea Samsung S25 Ultra, 1TB Storage. Tena wala hulipii usafiri.
Mnatucheka Wasukuma ushamba, sasa huyu tunamsemaje? Naamini angekuwa Msukuma leo mngetuua! Naomba asije akasema yeye kweli ni Msukuma!😁😁ww kweli boya yaani utoe 200,000 kuagiza simu china na bado eti ukatoa 98,000 kwa ajili ya usafiri toka china..kwanza simu gani gharama ya kuisafirisha inafika 98,000 kwa simu ya laki mbili tu..sasa itakuwa vp kwa wale wanaoagiza simu za milion 1 hadi 2 wanachajiwa gharama gani za usafiri..ebu tuambie ni simu aina gani uliagiza huko china ambayo kwa laki 3 uliyotoa ungeikosa hapa bongo.
Nataka achangie pato la taifa🤣🤣🤣Unataka umnyooshe sio 😀