Yahusu: Utapeli unaofanywa na Kampuni ya Kimchina iliyopo Salasala, Dar es salaam

Yahusu: Utapeli unaofanywa na Kampuni ya Kimchina iliyopo Salasala, Dar es salaam

Habari ya leo wana JamiiForums wenzangu na waTanzania wenzangu,

Napenda kuwaletea habari hii inayuhusu kampuni moja inayoitwa Agiza Kimchina ambayo ipo maeneo ya Salasala katika jengo la Kimchina Dar es Salaam, Mke wangu aliagiza simu kutoka china kupitia kampuni hiyo toka mwaka jana mwezi wa sita na mpaka mwaka huu simu hazijafika, mke wangu alitake trouble ya kufuatilia baada ya kufika ofisini kwao wakamuambia kuwa simu zilikuja lakini zikawa mbovu so zikarudishwa China

Wakamuahidi baada ya mwezi watampigia cha kushangaza ukiwapigia simu hawapokei na hawana ushirikiano wowote

Naomba kutoa angalizo kwa waTanzania wenzangu hawa watu ni matapeli na maamuzi nilichukua ni kwenda ofisini kwao na Polisi, kwa sasa naelekea kituo cha Polisi kwa ajiri ya kuchukua RB na kufanya utaratibu wa kwenda ofisini kwao ili nipate kurudishiwa pesa zangu ambayo ilikuwa 200,000/= ya simu pamoja na 98,000/= ya usafiri.

Naomba mnisaidie kusambaza hii taarifa.
Mamlaka husika ziangalie hili
 
HAO KIMCHINA, NI BINTI NA MAMA YAKE.
UTAPELI HAWAJAANZA LEO WALA JANA, HATA KWENYE PAGE ZAO ZA SOCIAL MEDIA MALALAMIKO NI HAYO HAYO.
UKIWAONA ANA KWA ANA, SIO WATU WA KUFANYA NAO BIASHARA, SIO WATU WA KUAMINIKA.
KUNA TAARIFA ZA BINTI KUWA DRUG DEALER, NA ANA WATU WANENE NYUMA YAKE.
 
Tangu nipigwe million 6 kwenye viwanja vya mkopo kupitia hizi kampuni binafsi za kuuza viwanja Imani yangu ndogo sana kuamini biashara mtandao
 
Bila shaka ulinunua iPhone 15 high copy hizo simu ni mbovu balaaa na huyo kim China anatajirika kwa hiyo hela ya usafiri. Wenzie usafiri ni 30k kwa simu moja lakini yeye usafiri ni 98k na bado kuna nyumbu wanaenda huko kwa kuwa tu anatangaza vizuri. Huyu demu wala hatakatishi hela kama wengi wanavyosema yeye anapiga kwenye usafiri tu ndio tobo lake lilipo.

Kwa mfano flana za mtumba unaagiza kwa 500 ila usafiri kwa flana mona ni 2300 hapo ukiwa na flana 500 ambazo ni wastani wa balo moja na nusu usafiri unakuwa 460k. Imagine yeye anapata ngapi hilo balo kwa meli ni hata nusu cbm halifiki lakin yeye kashakata chake 460k. Utakuwa watu kama 10 hivi mnachangia cbm 1 yeye ndio kula yake wazee hakuna biashara ya hasara.

Mimi nimemstukia siagizi tena kwake kutoka usafiri wake uko juu sana

Narudia huyu binti hadangi wala hatapeli mtu mnamsingizia tu

Alafu brother huyo mkeo huenda pia alichelewa kulipa transport mana kwa sheria zake ni kuwa ukichelewa kulipa transport hana refund.

Piga kazi kimchina

Wajinga ndio waliwao.
She paid on time simu zililetwa zikawa mbovu sasa since last year August? Mpaka leo simu hazijafika na simu wamekua hawapokei niliongea na manager wao akasema atanipigia the next day baada ya kutala nirudishiwe pesa yangu sikuona simu na nikipiga hawapokei, nilifikiri ni mimi tuu kumbe kuna jopo la watu na wao wametapeliwa..
 
Kwann usiagize Alibaba kuliko kumpa mswahili hela yako
Acha tuuu ndugu yang
HAO KIMCHINA, NI BINTI NA MAMA YAKE.
UTAPELI HAWAJAANZA LEO WALA JANA, HATA KWENYE PAGE ZAO ZA SOCIAL MEDIA MALALAMIKO NI HAYO HAYO.
UKIWAONA ANA KWA ANA, SIO WATU WA KUFANYA NAO BIASHARA, SIO WATU WA KUAMINIKA.
KUNA TAARIFA ZA BINTI KUWA DRUG DEALER, NA ANA WATU WANENE NYUMA YAKE.
Mungu wangu pesa yangu waatatoa tuu ...
 
Back
Top Bottom