Promo, kaka edward55 .. kurecord sio issue hataaa,.
bongo bila kumpa dj pesa hachezi ngoma yako, na pia presenter anahitaji chake ili ngoma yako aiongelee, akusifie kidogo kwenye kipindi chake,.. how much can that be? x 10 radio stations.. interview ni za kununua, etc.so wanataka mshiko kwenye promo au?na kwa nini m2 asijipange na pesa ya promo?
bongo bila kumpa dj pesa hachezi ngoma yako, na pia presenter anahitaji chake ili ngoma yako aiongelee, akusifie kidogo kwenye kipindi chake,.. how much can that be? x 10 radio stations.. interview ni za kununua, etc.
kuna mshikaji wangu kila ngoma ilipokua inapigwa, dj anampandia hewani kudai bia, na vitu vingine kama hivyo..
duh sasa wanaodai tukomae ndo tukomae vipi?tunaitaji badiliko sehemu kwani waliotoka na wakadai wamekomaa ilikuwaje?