Yahusu wasanii chipukizi

Yahusu wasanii chipukizi

edward55

Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
11
Reaction score
2
unakuta m2 ana kipaji ila yupo 2 mtaani je ni nini kina wakwamisha.kama ni kutoka ushajaribu na wapi pamekushinda.tuzungumzie hili tatizo jamani?
 
Promo, kaka edward55 .. kurecord sio issue hataaa,.
 
so wanataka mshiko kwenye promo au?na kwa nini m2 asijipange na pesa ya promo?
bongo bila kumpa dj pesa hachezi ngoma yako, na pia presenter anahitaji chake ili ngoma yako aiongelee, akusifie kidogo kwenye kipindi chake,.. how much can that be? x 10 radio stations.. interview ni za kununua, etc.
kuna mshikaji wangu kila ngoma ilipokua inapigwa, dj anampandia hewani kudai bia, na vitu vingine kama hivyo..
 
duh sasa wanaodai tukomae ndo tukomae vipi?tunaitaji badiliko sehemu kwani waliotoka na wakadai wamekomaa ilikuwaje?
 
duh sasa wanaodai tukomae ndo tukomae vipi?tunaitaji badiliko sehemu kwani waliotoka na wakadai wamekomaa ilikuwaje?

kaka kumbuka sasa hivi muziki ni bonge la OPPORTUNITY kwa mapresenter, ma dj, ma meneja, na ma promoter...
ukitaka kutoka kiukweli, inabidi ufanye massive promotion, probably thru clouds fm, na hao ndo wenye matatizo makubwa sana.. na kama huna meneja wa ku deal nao, utasumbuka sana... ukiwapigia wana mind eti nani kukupa namba zao, ukimpa cd bila misimbazi kama minne cd anaitupa kwenye bin mbele yako.. etc..
so wanatka uwalambe miguu, na pesa uwape... u see why most underground artists fail?
 
Back
Top Bottom