baada ya kubanika kuwa wanajenshi na polisi wengi wako kwenye kadhia hiyo serikali imekaa njia panda!! Maana ukweli ni kuwa wafanyakazi wengi nchini, walimu, wauguzi, n.k wanavyeti vya watu wengine. Cheti kimoja kinatumiwa na watu zaidi ya mmoja. Suala la vitambulisho vya uraia lingekuwa mwarobaini wa tatizo hili, lakini sasa linagusa watu wengi tena WAKUBWA na itakuwa IIBU kubwa!!! ndo maana mkurugenzi wa Vitambulisho akapigwa STOP kuendelea nalo na kulazimika kukanusha kuwa hakumaanisha waliforge vyeti, lakini ukweli utabaki hivyo daima-ni tatizo kubwaaaaaaaaaa