Yahusu watumishi walioghushi vyeti

Yahusu watumishi walioghushi vyeti

JOHN MKUTANI

New Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
3
Reaction score
0
Ndugu wana jamii naomba kujua lile swala la watumishi walioghushi vyeti limeishia wapi? Na je kwa kufanya hivyo wamevunja sheria gani? Na ni nini adhabu yao.
 
baada ya kubanika kuwa wanajenshi na polisi wengi wako kwenye kadhia hiyo serikali imekaa njia panda!! Maana ukweli ni kuwa wafanyakazi wengi nchini, walimu, wauguzi, n.k wanavyeti vya watu wengine. Cheti kimoja kinatumiwa na watu zaidi ya mmoja. Suala la vitambulisho vya uraia lingekuwa mwarobaini wa tatizo hili, lakini sasa linagusa watu wengi tena WAKUBWA na itakuwa IIBU kubwa!!! ndo maana mkurugenzi wa Vitambulisho akapigwa STOP kuendelea nalo na kulazimika kukanusha kuwa hakumaanisha waliforge vyeti, lakini ukweli utabaki hivyo daima-ni tatizo kubwaaaaaaaaaa
 
Hii ndio tanzania bwana,john ulikua unajua ushalamba ajira wanajeshi na polisi wakufukuzwa haaaaaaa!
 
Hawa waliofoji vyeti ni kuwatimua kazi tu maana wakati wakati mwingine watu wanafanya maana maamuzi ya kijinga sababu kichwani hamna kitu.
 
Wengi ni watoto wa vigogo. Kuna mtoto wa kigogo alikuwa anasoma Kiraeni Secondary akapata zero kidato cha nne, wenzake wakakutana naye mlimani first degree walipochunguza cheti chake wakakuta kaingia na cha form iv division 1 na form six div 1 wakati pumba tu!!
 
inategemeana wamegushi vipi....makosa ambayo wako likely kushitakiwa nayo ni forgery, cheating,na personation ambayo yote yapo kwenye penal code cap. 16 ya sheria za tz.
 
Hilo ndo limetoka hakuna kitu hapo watumishi wengi wamefoji vyeti kwa sababu ya nafasi za kazi kutolewa kindugunatizesheni na Kishikaji, hata wa kubwa hawako salama kwenye vyeti
 
Back
Top Bottom