Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kiongozi mkuu wa Hamas,ndugu Yahya Sinwar ametoa pongezi kwa viongozi wa Hizbullah ya nchini Lebanon kutokana na kuwaunga mkono wapalestina kwa njia ya kuwashambulia Israel bila kuchoka.
Pongezi hizo zilitumwa kwa njia ya barua na kuwekwa wazi na vyombo vya habari vya Lebanon ni jibu la barua aliyopokea hapo awali kutoka kwa kiongozi wa Hizbulah, Hassan NasraLlah ambaye alituma barua ya kutoa pole kutokana na kuuliwa kwa kiongozi wa Hamas, bwana Ismail Haniye mwezi uliopita.
Katika barua yake hiyo iliyotangazwa hii leo ambayo iliandikwa Jumatatu iliyopita,Yahya amesema vita vyao na Israel vilivyoanza Oct.7 ni miongoni mwa vita vitakatifu kutokea katika kuitetea Palestina.