Alikaa miaka mingi jela za Israel,miaka mingi,haogopi kifo,na akifa si mwisho wa harakati za wapalestinaHana maisha marefu, na hii ni yeyekujitakia
Viongozi wa Hamas waliokwishauliwa ni wengi sana akiwemo muasisi sheikh Yassin aliyekuwa mlemavu wa miguu na kipofu na alikuwa mzee sana.Alikaa miaka mingi jela za Israel,miaka mingi,haogopi kifo,na akifa si mwisho wa harakati za wapalestina
Video hiko wapi?Umeambiwa katoka na wewe unasema hawezi kutoka.
Na hata shimo alilokuwa keshabadilisha.
Allah naye lini atajitokeza awasaidie wapelistinsa?π π€£πππΏππΏππΏππΏHii ni taarifa ya waliomuona.Vidio ikitoka tutakushtua.
Umeandika kitu ambacho huna uthibitisho nacho vipiHii ni taarifa ya waliomuona.Vidio ikitoka tutakushtua.
Ya kuedit hiyo sijaona popote taarifa za sinwarUmeangalia hiyo video hapo juu hata unihukumu hivyo?
Haogopi kifo wakati anaishi kwa kujificha siku zote!Alikaa miaka mingi jela za Israel,miaka mingi,haogopi kifo,na akifa si mwisho wa harakati za wapalestina
Hamna lolote .jeuri hyo hanaVideo hiko wapi?
Mbona vyombo vya usalama vya Israel vimekubali.Wewe bado unapinga.Ya kuedit hiyo sijaona popote taarifa za sinwar
Ila nauliza al qassam brigade hawajatoa clip yoyote mpaka sasa ?