Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Ila Gaza wanajichanganya.si walisema hakuna Hama's yoyote.ni civilian Tu.
Sasa Israel wataanza upya
Sasa Israel wataanza upya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa za karibuni kabisa kutoka Gaza zinasema kiongozi mkuu wa Hamas,Yahya Sinwar hivi karibuni ameweza kukagua vikosi vya wapiganaji wake maeneo tofauti ya Gaza.
Alifanya hivyo kwa kujitokeza juu ya ardhi na wala sio kwenye mahandaki.
Mbali na hivyo, kiongozi huyo ambaye mara moja Israel walimuonesha akitembea chini ya handaki maeneo ya Khan Younis, pia katika siku za karibuni amezungumza na viongozi wakuu wa kisiasa wa Hamas walioko nje ya nje na kuwapa takwimu muhimu na kuweka sawa misimamo yao dhidi ya Israel.
Blog ni watani based palestina halafu habari source yake inatoka vyombo vya usalama israelMbona vyombo vya usalama vya Israel vimekubali.Wewe bado unapinga.
Hamas Leader Yahya Sinwar Emerges from Gaza Tunnels: Israeli Intelligence Confirmation
Hana akili huyo.Umeambiwa katoka na wewe unasema hawezi kutoka.
Na hata shimo alilokuwa keshabadilisha.
Kwa sababu kichwa maji ndiyo maana ngumu kuelewa,Kama haogopi kufa basi akae kihasara tu ili auawe!?..we nae una ubongo!!Haogopi kifo wakati anaishi kwa kujificha siku zote!
Hujui unachoandika.