Yahya Zayd ana mpira wa kizamani ipo siku atakuja kuua mtu. Leo kwetu Yanga na Simba mjiandae

nilikuwa namchukulia powa kocha yusuf dabo... namna alivombadilisha YAHYA ZAID... kutoka striker mpk kiungo ... safi sana... naamini Dabo ana kitu...
 
nilikuwa namchukulia powa kocha yusuf dabo... namna alivombadilisha YAHYA ZAID... kutoka striker mpk kiungo ... safi sana... naamini Dabo ana kitu...
Dabo ni kocha mzuri aisee, kaibadili sana Azam
 
Dogo lipumbafu sna alfu unalikuta nae eti kafunga ramadhani ,mnafiki sna anakanyaga watu
 
Wachezaji wa mpira miguu wanatakiwa wapewe semina ya kutosha juu ya mchezo wa kiungwana (fair play).

Kumuumiza mchezaji mwenzako kwa makusudi ni jambo lisilo kubalika hata kidogo katika michezo.
Kama wanaaumizana hvyo na tukio kuto kurudiwa maana yake Ni Kwamba hata uchawi wanalogana. Sna
 
Sawa, ndiyo maana nimesema naitunza comment hiyo...utakuja kuniambia Muda siyo mrefu
 
Siku ya leo hadi iishe kuna watu watakunywa sumu..mana sio kwa stress hizi...propaganda za kumchafua man of the match zayid....akina pakuma na aziza hawakuonekana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
halafu kuna wachambuzi wanamsifu kakichafua eti, sawa
 
Punguza lawama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…