Yahya Zayd ana mpira wa kizamani ipo siku atakuja kuua mtu. Leo kwetu Yanga na Simba mjiandae

Yahya Zayd ana mpira wa kizamani ipo siku atakuja kuua mtu. Leo kwetu Yanga na Simba mjiandae

nilikuwa namchukulia powa kocha yusuf dabo... namna alivombadilisha YAHYA ZAID... kutoka striker mpk kiungo ... safi sana... naamini Dabo ana kitu...
 
nilikuwa namchukulia powa kocha yusuf dabo... namna alivombadilisha YAHYA ZAID... kutoka striker mpk kiungo ... safi sana... naamini Dabo ana kitu...
Dabo ni kocha mzuri aisee, kaibadili sana Azam
 
Huyu bwana mdogo anaacha mpira makusudi anaamua kukanyaga mguu kwa nguvu kubwa na kamera za azam hazikuriludia hilo tukio maana walijua kitakachomkuta huyu bwana mdogo, pacome alikanyagwa makusudi kimkakati zaidi, dogo akaona haitoshi akaamua kumrukia mudathir kisiginoni mudathir nae ilibaki kidogo tu aungane na pacome, yao yao akapigwa kikumbo na huyu dogo akajikuta ameangukia goti na kuumia vibaya sana, naona wengi mnamsifia huyu dogo sasa subirini siku akimvunja chama, chemalone na kiungo fabrice ngoma kwa mpigo na kimikakati zaidi ndo mtaelewa namaanisha nini.
Dogo lipumbafu sna alfu unalikuta nae eti kafunga ramadhani ,mnafiki sna anakanyaga watu
 
Wachezaji wa mpira miguu wanatakiwa wapewe semina ya kutosha juu ya mchezo wa kiungwana (fair play).

Kumuumiza mchezaji mwenzako kwa makusudi ni jambo lisilo kubalika hata kidogo katika michezo.
Kama wanaaumizana hvyo na tukio kuto kurudiwa maana yake Ni Kwamba hata uchawi wanalogana. Sna
 
Wew bana kama umeanza kushabikia mpira leo,
Wachezaji wa undava wapo siku zote, ni wachezaj wa kazi Chafu dunia nzima, Ramos, Pepe, Casemiro, Vidic,

Kwa hio ni kawaida tu, ni watu ambao kwenye team wanatumika kuwafanya wapinzani wawe waoga,
Waambie wachezaji wako wawe makini zaidi
Sawa, ndiyo maana nimesema naitunza comment hiyo...utakuja kuniambia Muda siyo mrefu
 
Siku ya leo hadi iishe kuna watu watakunywa sumu..mana sio kwa stress hizi...propaganda za kumchafua man of the match zayid....akina pakuma na aziza hawakuonekana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naitunza comment hii.....

Unadhani kufanya rafu na kuwachezea vibaya wachezaji wenzako ni sifa???!!!! Hata kidogo.....Unadhani huyo Zayd alichowafanyia wachezaji wa Yanga kwa kuwaumiza unadhani ana raha??? What goes around comes around....Huyo Zayd atakuwa target na wachezaji wengine ...ataumizwa tu....muda wote atakuwa anacheza kwa tahadhari....hajui ni mchezaji yupi atakuja na revenge...
halafu kuna wachambuzi wanamsifu kakichafua eti, sawa
 
Huyu bwana mdogo anaacha mpira makusudi anaamua kukanyaga mguu kwa nguvu kubwa na kamera za azam hazikuriludia hilo tukio maana walijua kitakachomkuta huyu bwana mdogo, pacome alikanyagwa makusudi kimkakati zaidi, dogo akaona haitoshi akaamua kumrukia mudathir kisiginoni mudathir nae ilibaki kidogo tu aungane na pacome, yao yao akapigwa kikumbo na huyu dogo akajikuta ameangukia goti na kuumia vibaya sana, naona wengi mnamsifia huyu dogo sasa subirini siku akimvunja chama, chemalone na kiungo fabrice ngoma kwa mpigo na kimikakati zaidi ndo mtaelewa namaanisha nini.
Punguza lawama
 
Back
Top Bottom