N Nyamongo kwao Member Joined Jan 1, 2013 Posts 48 Reaction score 4 Nov 15, 2013 #1 leo nimeona mtu anakunya yai bichi direct kutoka kwenye ganda lake,je ni dawa au ni chakula?!
Kozo Okamoto JF-Expert Member Joined Oct 14, 2013 Posts 3,391 Reaction score 1,545 Nov 15, 2013 #2 hizo mbegu za kuku tu mkuu
ankol JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 2,355 Reaction score 4,260 Nov 16, 2013 #3 Inarekebisha koo, kama unatoa suti ya kukoroma labda kutokana na kuumwa mafua ukila linalainisha koo.
Inarekebisha koo, kama unatoa suti ya kukoroma labda kutokana na kuumwa mafua ukila linalainisha koo.
E eddyys Member Joined Nov 10, 2013 Posts 32 Reaction score 6 Nov 16, 2013 #4 Ni maajarabu kwa kifua na inalainisha pia
M Mr.creative JF-Expert Member Joined Aug 8, 2011 Posts 492 Reaction score 117 Nov 18, 2013 #5 sijawahi sikia wala kuona kwamba kunya yai ni hali yakawaida!
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Nov 18, 2013 #6 Nyamongo kwao said: leo nimeona mtu anakunya yai bichi direct kutoka kwenye ganda lake,je ni dawa au ni chakula?! Click to expand... husaidia kuondoa sauti ya mikwaruzo yaani kama ile ya bia za baridi..
Nyamongo kwao said: leo nimeona mtu anakunya yai bichi direct kutoka kwenye ganda lake,je ni dawa au ni chakula?! Click to expand... husaidia kuondoa sauti ya mikwaruzo yaani kama ile ya bia za baridi..
Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,126 Nov 18, 2013 #7 Husaidia wakati wa 0713.
Eliezar Mlwafu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2013 Posts 449 Reaction score 140 Nov 19, 2013 #8 Amekosea huyo mkuu,badala ya kuandika kunywa ameandika kunya,lakn wengi wamemwelewa