yai bichi ni dawa ya nini?

yai bichi ni dawa ya nini?

Nyamongo kwao

Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
48
Reaction score
4
leo nimeona mtu anakunya yai bichi direct kutoka kwenye ganda lake,je ni dawa au ni chakula?!
 
Inarekebisha koo, kama unatoa suti ya kukoroma labda kutokana na kuumwa mafua ukila linalainisha koo.
 
Amekosea huyo mkuu,badala ya kuandika kunywa ameandika kunya,lakn wengi wamemwelewa
 
Back
Top Bottom