Yai la kuku utalichemsha kwa dakika ngapi?

Yai la kuku utalichemsha kwa dakika ngapi?

Jiko gani...la mkaa, kuni, gas au umeme??? chombo gani...sufuria ya mchina, chungu, pressure cooker au? maeneo gani...Dar au Mlima Kilimanjaro?...kuku wa aina gani..kienyejiau kisasa nk?
Dah....kwa maji au mafuta? maji ya chumvi au ya mvua?mvua za vuli au masika??......
 
Nimechemsha mayai matatu yote yametoka tepetepe. Sijui nimezingua wapi.
 
1609616_415312751935056_1183883287_n.jpg
Pale linapoanza kuchemka subiri mda usiopungua dk tano ndo utoe..
Dk tano ni pale yanapoanza kuchemka siyo siyo pale unapoweka jikoni
 
Inategemeana na heat capacity.
To boiling point.

Inategemeana na Ukali wa Moto.
Lakini mashart yangu Hadi yai Litengeneze ufa.
Lipasuke lenyewe.


Msituletee UTOTO wa dk 5, 7 10.
 
Back
Top Bottom