PEVU HALISI
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 207
- 85
Hili yai ni la kwakoWengine ugomvi asili yao, jogoo wangu ametaga nyumba ya jirani namwambia anipe yai la kuku wangu anasema lake kisa ametaga kwake.
Ile haki kabisa, yai ni lake au ni la kuku wangu??
#ChemshaBongo
Jogoo akizeeka anataga [emoji3][emoji3]Jogoo wako katagaa
Huyo jogoo ni shemale huyo
Jogoo wako katagaa
Huyo jogoo ni shemale huyo
Yan ww chiz kweli! Utie nke ya mwenzio uizalishe halafu unadai mtoto? Balaaa kubwa hili nuksi! Ha ha ha haaaaaaaaaWengine ugomvi asili yao, jogoo wangu ametaga nyumba ya jirani namwambia anipe yai la kuku wangu anasema lake kisa ametaga kwake.
Ile haki kabisa, yai ni lake au ni la kuku wangu??
#ChemshaBongo
Bradha hilo yai sio lako na wala sio la jirani yako bali ni la huyo jogoo wako aliyepandwa na majogoo wenzake mpaka akataga, Nahisi jogoo wako atakua na undugu na James deliciousJogoo akizeeka anataga [emoji3][emoji3]
Yaani wewe umeianza weekend kwa bia kali.Wengine ugomvi asili yao, jogoo wangu ametaga nyumba ya jirani namwambia anipe yai la kuku wangu anasema lake kisa ametaga kwake.
Ile haki kabisa, yai ni lake au ni la kuku wangu??
#ChemshaBongo
jogoo hutaga yai dogo sana, na hii huashiria amezeekaJogoo wako katagaa
Huyo jogoo ni shemale huyo
yo wise manYan ww chiz kweli! Utie nke ya mwenzio uizalishe halafu unadai mtoto? Balaaa kubwa hili nuksi! Ha ha ha haaaaaaaaa